Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,303
- 2,652
simu ya OnePlus 10 Pro imeachiwa sokoni sasa inapatikana madukani kote, fahamu unachohitaji kujua kwenye iyo simu !!
Toka January 11 2022 ilianza kuuzwa nchini china ilipofikq tarehe 31 march ikasambazwa Ulimwenguni kote simu hii ya OnePlus 10 Pro ambayo Ina mambo mengi ya kushangaza ndani yake [emoji116]
Specs:
[emoji117] 6.7inch , HDR+ 120Hz
[emoji117] AMOLED display
[emoji117] Snapdragon 8 Gen 1 chipset
[emoji117] 8 / 12 GB RAM + 128,256,512GB storage
[emoji117] 5000mah + fast charging 80W (1-100)% = 32min international & fast charging 65w (1-58%) = 15min north America
[emoji117] 48mp (wide) + 8mp (telescope) +50mp (ultrawide) main camera
[emoji117] Font camera 32mp (wide) + Auto-HDR
[emoji117] Android version 12 + OxygenOs 12.1 (international)
[emoji765]899.99
Ndani ya Box [emoji320][emoji3514]
Samsung Galaxy s22 ultra ni moja wapo ya simu Bora kuwahi kutokea za android. Ila kwa OnePlus 10 Pro ni maridadi pia Ina nguvu alafu imara Inadumu kwa muda mrefu ikija na kamera Bora Zaidi kuliko simu zote za OnePlus kuwahi kutokea.
Simu hii design yake nzuri , uchoki kuangalia Betri yake imara inakaa na chaji muda mrefu pia unaweza kuchaji simu yako ikiwa na asilimia 1 hadi kufikia 100 ndani ya dakika 30 imeshajaa kabisa [emoji817].
Kwa wale wa penzi wa kamera basi one plus ni kimbirio lako sahihi utapatq kutoq picha Kali na zenye mvuto Zaidi.
Ina support 5G ambayo utaweza kutumia [emoji2] mtandao wa intaneti kwa speed zote kitu Cha gb 2 unachukua dakika 5 mpaka 10 kudownload.alafu uwezo wa kuhifadhi vitu mpaka 500Gb storage utasahau simu kujaa.
Pia bei yake ni rafiki kwani ni ndogo sana kulinganisha na simu zilizopita za OnePlus [emoji3514].
Changamoto [emoji3544]
Uwezo wa kuvuta kitu na kuchukua picha ni 8mp ivyo sio nzuri Sana kwa wale wapenzi wa kuvuta picha zilizombali kusogeza karibu. Pia unapatq update ya miaka mitatu ikitokea google wametoa toleo jipya la android basi utapatq kwa muda wa miaka 3 tu.
Overate ni 7/10 [emoji110].
Unawaonaje OnePlus wanaweza kuwa washindani wa Samsung , iphone na Google , Infinix na huawei kwenye soko la simu tuachie maoni yako ?