wasaa9
JF-Expert Member
- Jun 9, 2017
- 566
- 209
Tecno kaka m pembeni kidogo,labda angegusia sim thenye bei ya chini (cheap)Bila tecno hii mada hainogi hahaaa uwiii
Tecno kaka m pembeni kidogo,labda angegusia sim thenye bei ya chini (cheap)Bila tecno hii mada hainogi hahaaa uwiii
Techno l8 plus capacity ya Betry ni 5500 mah unasahau inauwezo wa kucheza video non stop masaa 14,kama si mtu wa kuchat sana inaenda hadi siku tano.Watanzania na tecno yetu sasaaa
Kuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks umesaidia kwa kiasi fulani lakini bado usumbufu upo pale pale.
Kwa mwaka huu wa 2017 mwezi huu wa Disemba tunazileta kwenu smartphone bora zilizofanyiwa majaribio tofauti mengi ikiwemo kucheza video ndefu zenye ubora wa hali ya juu na majaribio mengine na matokeo ndio haya simu ambazo zilifaulu majaribio hayo ya kukaa na chaji muda mrefu, kwaio fanya kujipatia yako na usisumbue kichwa tena kujua smartphone ipi haitakusumbua chaji
1. LENOVO P2 ( dakika 1730)
View attachment 656920
2. HUAWEI MATE 10 (dakika 1603)
View attachment 656921
3. MOTOROLA MOTO Z PLAY ( dakika 1425)
View attachment 656924
4. SAMSUNG GALAXY A3 ( dakika 1405)
View attachment 656925
5. SAMSUNG GALAXY A5 ( dakika 1325)
View attachment 656926
6. SAMSUNG GALAXY NOTE 7 ( dakika 1317)
View attachment 656929
7. ONE PLUS 5T ( dakika 1252)
8. ONE PLUS 5 ( dakika 1240)
View attachment 656931
9. SAMSUNG GALAXY S8 PLUS ( dakika 1233)
View attachment 656933
10. MOTOROLA MOTO Z2 PLAY ( dakika 1173)
View attachment 656934
11. NOKIA 8 ( dakika 1126)
View attachment 656938
12. SAMSUNG GALAXY S7 EDGE ( dakika 1122)
View attachment 656939
13. SAMSUNG GALAXY J5 ( dakika 1106)
View attachment 656940
14. MEIZU PRO 6 PLUS ( dakika 1086)
View attachment 656941
15. SAMSUNG GALAXY S7 ( dakika 1068)
View attachment 656942
16. ONE PLUS 3 ( dakika 1016)
View attachment 656943
17. APPLE IPHONE SE ( dakika 1006)
View attachment 656945
18. MOTOROLA MOTO Z2 FORCE ( dakika 1000)
View attachment 656946
19. GOOGLE PIXEL ( dakika 983 )
View attachment 656947
Unaweka Sumsang alafu unaachaje tecno l8?
Aise embu waelezee mana inavyotetewa nimewaambia haiko katika soko la dunia hawanielewiSasa jamani kwani tecno nayo ni SIMU?
Haingii akilini inatengenezwa china halafu haiuzwi ndani ya china kisha useme ni simu
Ongezea ALCATEL PIXI 4 PLUS... Bettery capacity 5000 mAhKuchagua simu haswa hizi za smartphone ambazo zinakaa na chaji muda mrefu yaweza kua mtihani mkubwa kwa watumiaji wa simu, wengi wamekua wakilalamika sana chaji lakini ujio wa power banks umesaidia kwa kiasi fulani lakini bado usumbufu upo pale pale.
Kwa mwaka huu wa 2017 mwezi huu wa Disemba tunazileta kwenu smartphone bora zilizofanyiwa majaribio tofauti mengi ikiwemo kucheza video ndefu zenye ubora wa hali ya juu na majaribio mengine na matokeo ndio haya simu ambazo zilifaulu majaribio hayo ya kukaa na chaji muda mrefu, kwaio fanya kujipatia yako na usisumbue kichwa tena kujua smartphone ipi haitakusumbua chaji
1. LENOVO P2 ( dakika 1730)
View attachment 656920
2. HUAWEI MATE 10 (dakika 1603)
View attachment 656921
3. MOTOROLA MOTO Z PLAY ( dakika 1425)
View attachment 656924
4. SAMSUNG GALAXY A3 ( dakika 1405)
View attachment 656925
5. SAMSUNG GALAXY A5 ( dakika 1325)
View attachment 656926
6. SAMSUNG GALAXY NOTE 7 ( dakika 1317)
View attachment 656929
7. ONE PLUS 5T ( dakika 1252)
8. ONE PLUS 5 ( dakika 1240)
View attachment 656931
9. SAMSUNG GALAXY S8 PLUS ( dakika 1233)
View attachment 656933
10. MOTOROLA MOTO Z2 PLAY ( dakika 1173)
View attachment 656934
11. NOKIA 8 ( dakika 1126)
View attachment 656938
12. SAMSUNG GALAXY S7 EDGE ( dakika 1122)
View attachment 656939
13. SAMSUNG GALAXY J5 ( dakika 1106)
View attachment 656940
14. MEIZU PRO 6 PLUS ( dakika 1086)
View attachment 656941
15. SAMSUNG GALAXY S7 ( dakika 1068)
View attachment 656942
16. ONE PLUS 3 ( dakika 1016)
View attachment 656943
17. APPLE IPHONE SE ( dakika 1006)
View attachment 656945
18. MOTOROLA MOTO Z2 FORCE ( dakika 1000)
View attachment 656946
19. GOOGLE PIXEL ( dakika 983 )
View attachment 656947
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aise embu waelezee mana inavyotetewa nimewaambia haiko katika soko la dunia hawanielewi
Usiitaje Tecno pale watu wanapojadili simuTecno L9+ dk 4260
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usiitaje Tecno pale watu wanapojadili simu
Hata me nimeshangaaaHuwezi kuwa serious kama hamna Sony katika hio list
soma vizuri kichwa cha habari ameeka neno "bora"Umetumia vigezo gani kutaja izo simu?? Umewezaje kutaja A5 Samsung ukaacha Tecno L8?? [japo mm sio mtumiaje wake]
Sijaona Infinix hata 1 nipe vigezo ili nikubaliane na ww
Inapofika kutaja simu huwez itaja tecno kwa sababu haitambuliki kwenye orodha za simu hata huko inakotengenezwa,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa hiyo Tecno sio simu hahaha.
I like sony inaweza kusavaivu kwa 1% na ukaongea fresh tuHata me nimeshangaaa
True kabisa hapo hatujagusa kwenye camera yake.... wako vizuri sana hawa jamaa.I like sony inaweza kusavaivu kwa 1% na ukaongea fresh tu
Nadhani Tecno L5 ndio the best kwenye suala LA chaji. Mama angu anatumia mpaka wiki moja in case data is offKboko ya chaji tecno L5/L8 na L9Plus