Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
motororola imenoga sana hapo
Mbona wanadhani man city?Tecno hazijulikan kwenye soko la dunia
Hahaha ukitukana haisaidii punguza presha na stress jibu kwa hojaJinga kabisa tunachanganyana tu hapa. Kwahyo ipi inakaa na chaji zaid?
Mkuu ngoja niwamalizie list nyingine kama 20 ama 30 humo ndo kuna mitekno yaoJust imagine kwenye orodha ya simu 19 haipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wanang'ang'ania kuitaja[emoji57][emoji57]
Sio wabongo,waafrika[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wabongo na TECNO baba mmoja mama mmoja.
Kwa ajili ya waafrikaMbona wanadhani man city?
Infinix na blue phone nazo vepe??7 co international??? [emoji23][emoji23]soma vizuri kichwa cha habari ameeka neno "bora"
[emoji851][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Wabongo na TECNO baba mmoja mama mmoja.
Jamaa ametaja simu anazojua yeye..The article is biasedHata me nimeshangaaa
Hakuna Samsung inayokaa na chaji hata 1,betri zake mwsho ni 3000mAh shuka chiniMi nina samsung note 5 kiukweli ni nzuri ila chaji ndo haikai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 657522View attachment 657523View attachment 657525View attachment 657526View attachment 657527
Tecno users kwenye uzi HUU
Cc culture gal[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Spare my Ribs jamaniiiiiiiiiiiiii uwiiiiiii.
Nacheka sana.
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Tecno c9 kibokooooo