Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Simu Janja (Smartphone) 19 bora zinazokaa na chaji muda mrefu

Na wewe pia unaangalia kupiga simu kama kigezo cha ukaaji chaji?

Kwa budget ya laki 5.
-Moto G9 power inakaa masaa 60 ya kupiga chaji mfululizo Sema ni ya kuagizishia nje.

-Xiaomi redmi 9T inakaa na chaji masaa 49 mfululizo ya kupiga simu, inapatikana Kenya kwa Bei rahisi na Tigo shop kwa Around hio Budget.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tu nimekuwa kama mtoto wa ibilisi lazima nicomments tu. Moto G9 nilikuww nayo niliinunua Walmart ya Wisconsin. Ila nimempa mtoto wa kaka yangu

Lunatic [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
 
Kuna Moto G9 na G9 power, hii G9 power wamepunguza vitu kama resolution ya kioo na kuweka battery kubwa ili ikae na chaji zaidi.
 
Back
Top Bottom