SimbaSc v Black Leopard Live Updates

SimbaSc v Black Leopard Live Updates

Ndo maana tunamsaidia mkuu,sijui yuko kwenye uwanja gani huyu jamaa,yani haendi na matukio.ila kwa sababu JF imesheheni wataalam kila kitu kipo sawa,au kuna sehemu umepungukiwa Mkuu?!!

leo more updates au majanga nini...
 
There are currently 83 users browsing this thread. (25 members and 58 guests)-Akiwemo Makoye Matale,Mkuu mbona kimya,umekuwaje siku hizi??!!!

Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.
 
Hivi hawa ndo yanga waliwafunga au macho yangu jamani. Mpira gani nusu uwanja.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Hao wanakamilisha ratiba yao tu. We jana wamecheza Mwanza, leo wanacheza Dar. Tulitegemea matokeo bora zaidi ya Yanga.
 
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.

wewe kwani huwa jui mkia bana wakifungwa sisi tunajua ni simba wao wanasema simba b heheheheeee south 1 mkia 0
 
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.

Mkuu wanataka mechi ikiisha wasingizie kikosi cha pili,lakini sisi tunachojua simba kala mboko,na hii ni ishara tosha kwamba jumamosi pia wanakilalia.
 
Kumbe simba kisharudi?
Sasa tende na kahawa kweli unaweza cheza mpira?
 
Mkuu, Simba hawajawatendea haki waTz, watu walitarajia full kikosi kicheze ili kuona ubora wa mafunzo ya Oman, sasa hawa Yosso sijui wameingiaje uwanjani.

Kesho watasema safari ya Oman ni mbali wachezaji walichoka wapinzani walitoka karibu Mwanza tu hapo
 
Mkuu simba ni Crashwise naona kajificha kwa Rage naona Julio alienda Oman kufanya mazoezi ya kula tende
Hahahahah....hao wanaocheza ni watoto, na tutawafunga simba ina timu tatu ukiwafunga hawa madogo usishangilie sana maana kuka kikosi kingine....
 
Kesho watasema safari ya Oman ni mbali wachezaji walichoka wapinzani walitoka karibu Mwanza tu hapo
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...
 
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...

habari ya asubuhi mkuu?!,vipi kuhusu Akufor,na mwenzake?!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom