Na kwa kuonyesha jeuri mnyama kaleta 'la masia' u_20 wale wale azam walitafutana taifa hapa hapa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu nilikuwa nakutia presure,lakini kwa hiki kikosi lazima zifike.kabisa simba wanafanya utani sana na mashabiki na mashabiki wamefanya vurugu wakipinga hicho kikosi chao.
Paka weusi piga hao simba koko 3-0 warudi zao umangani wakaunge unge posho.
cc: Crashwise
Waambie mwenyewe yanga wenzio hao ndo la masia bana
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Paka mweusi timu piga hao Simba 8 bila
Mwanawani unataka kubisha nini!!?? Kwani hujui chui hutim¨´a vibaya mno akimwona SIMBA?? Hakuna kusema wamechoka wala nini, hata sisi tumechoka na safari ndefu kutoka Omani!! Leo ni kichapo tu, hakuna maelezo hapaa!! S-3 Ch-0Hayo maneno yako utayakataa baadaye wewe jifanye unajua kuongea,naona Huwajui hao Chui Weusi!!!!watakupigeni makucha ya kutosha leo.haya,labda kama umewasiliana na wakina,Tegete,Bahanuzi,Niyonzima,Kavumbagu na wakina Musuva wakawaelekeza namna ya kuwafunga kwa sababu wenyewe wana uzoefu wa kutosha katika kuwafumua mabao.
Nilijua hapa tatizo ni uzoefu hawa bado hawana uzoefu tayari wamejila wenyewe,Black Leopard 1-simba 0
Acha masikhara mkuu, kweli simba koko ameshakalishwa na paka weusi?