WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Mkuu Boban hajaingia? Ndiye tegemeo la simba
Mkuu Boban ameisha sasa hivi hana uwezo alichobakiza ni mateke tu ya kwenye viuno na vifua vya watu,enzi zake huyoooo,alikuwa Boban kweli.

Manji anawasaanii tu wavaa ndala. Katika mapatano ya ziara ya paka, inasemekana conditions zilikuwa ni kwamba ili wagarimiwe na Manji basi ni budi wakubali kufungwa x 2

Kweli mkuu, kwa kuwa Yanga hatutafungwa tena 5 - 0, sana sana Simba wataishia kutufunga 4 - 0... hakuna mchezaji hata mmoja simba wakumlinganisha na mchezaji wa Yanga kwa sasa,na kibaya zaidi kuondoka kwa Okwi ndio kumemaliza kabisa ubora wa Simba....
2nd half imeanza. La masia wanashambulia vya kutosha hapa. Kuna beki alipigwa chenga kama 3 nusu aombe kiti akae kwa kizunguzungu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTE
Eeeeeeeeeeeeee,ile chenga ni kiboko,mru wa mpira kama mimihawezi kuikataa pamoja na kwamba nina alage na Simba tangu nazaliwa.
2nd half imeanza. La masia wanashambulia vya kutosha hapa. Kuna beki alipigwa chenga kama 3 nusu aombe kiti akae kwa kizunguzungu
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Kweli mkuu, kwa kuwa Yanga hatutafungwa tena 5 - 0, sana sana Simba wataishia kutufunga 4 - 0

mkia bwana wakifungwa oo walikuwa watoto duu kazi mnayo..Na kwa kuonyesha jeuri mnyama kaleta 'la masia' u_20 wale wale azam walitafutana taifa hapa hapa.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu mbona unakatika katika upo milimani nn? Au unasikiliza redio ya mwenyekiti wa kijiji/mtaa?
HT King Of the jangle u20 0_1 Black Leopard (ABSA Premier League Team)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ndo maana tunamsaidia mkuu,sijui yuko kwenye uwanja gani huyu jamaa,yani haendi na matukio.ila kwa sababu JF imesheheni wataalam kila kitu kipo sawa,au kuna sehemu umepungukiwa Mkuu?!!
HT King Of the jangle u20 0_1 Black Leopard (ABSA Premier League Team)
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Manji anawasaanii tu wavaa ndala. Katika mapatano ya ziara ya paka, inasemekana conditions zilikuwa ni kwamba ili wagarimiwe na Manji basi ni budi wakubali kufungwa x 2
Ball posssession 70_30 la masia wanatishaaaaaaaaaaaa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wasanii wako simba mkuu, au hujawaona kina Julio wanavyonengua kimahaba?