SimbaSc v Black Leopard Live Updates

SimbaSc v Black Leopard Live Updates

Kwamba simba ya tangu mwaka 2005 imekuwa ikimtegemea OKWI kuisawazishia mabao na kuipatia ya ushindi.

wabhejasana nlikua segebansi ya jf nikawa nakuchungulia tuu leo nimemaliza kifungo, asante sana kwa kazi nzuri ulioifanya toka jana na leo,. Mambo ya fastjet unakata mawimbi tu,. Naona mtani leo kaloweshwa na chui mweusi
 
mbona ni comments bila kutaja magoli? inawezekana simba wamepigwa magoli mengi sana
 
huu ndio muda muafaka sasa pole sana ila mkuu ile 300K imefanyiwa nini maana huyu msonjo ni hatare..
mlishaleta mada humu jamvini kuwa alisajiliwa yanga, na tupo msajili hamkuuliza pesa imetoka wapi iweje baada ya kumuuza mnauliza pesa tumeifanyia nini?...viongozi wa simba hawatoi mapato na matumizi kwa wanzania bali wanatoa mapato na matumizi kwa wanachama wa simba sasa kama wewe uko nje ya kundi hilo piga kimya maana haya kuhusu kivile...vipi leo ubwabwa wapi...
 
Ni aibu na maajabu kuona manazi wa Yanga wanapiga kelele hapa wakati tunachezesha Yosso watupu kwa nia njema ya kuwajenga na kutengeneza akina Messi wa kesho na pia tunajua wale waangola wapo hapa sasa ndo watachanganyikiwa. hatuwezi kuweka kikosi cha kwanza kwa timu hii inayoshika nafasi ya chini kutoka juu..

Sasa nyie timu ya baba Rz1 mmepanga kikosi kamili na kuishia kushinda kwa matuta mechi mbili....mnahonga marefa hata mechi za kirafiki eti ili kushangilia uturuki (hivi umesikia timu gani ya ulaya imetia kambi uturuki..?? )

...Subirini ligi ianze tuwanyuke ndo mtajua uturuki wanakaa kambi za jeshi sio mpira...ha ha ha

Toka kile kikosi cha Juma Kaseja,Nasoro Chollo,Ochieng,Kapombe,Kiemba,Ngassa,Kazimoto,Sunzu,Boban na Edo wakung'utwe 3-0 na Sofapaka ya Kenya agizo lilitoka kutoka kwa Bosi Mkubwa kabisa wa Simba Mh Ismael Madeni ya Maharage kuwa game yeyote ya kirafiki itakayokuwa na dalili za kufungwa ni marufuku kuchezesha kikosi cha kwanza,wachezeshwe team ya Vijana ili hata ikifungwa ijulikane kuwa ni team ya Vijana imefungwa,Simba bwana they think they can fool all people all the time.
 
This is one of the silly BS I have ever heard in futbol...!!
Yaani wewe dunia nzima inalia soka la vijana likuzwe, na hawa vijana juzi juzi tu wamewatoa jasho full skuad ya Azam kule zenji.
Sasa wewe unaongea ----- gani, hayo maagizo aliyatoa wapi, au mlikuwa nyie wawili tuu ?? Jus simple common sense ligi inaanza in three days, na kuna scouts wa Angola wapo nchini kupeleleza simba sasa kuna ulazima gani kuchezesha kikosi cha kwanza ktk mechi maharagwe kama hii, timu yenyewe inashika nafasi ya sijui 15 kati ya timu 17...!!

Subiri uone in 2-3 years nani atakuwa anatamba ktk soka la bongo au hata nje kati ya yosso wa Simba na timu nyingine.

Confidence inajengwa hivi, na hata hao akina Pique, Sterling, Rooney, Fabregas, au hata Messi na mayanki kibao wa Barca walipatikana kwa kuanzia ktk mechi kama hizi..!! Nyie tatizo mnatumia usanii kufukia mashimo, madeni hela zimeliwa sasa mnahonga marefa mechi za kirafiki eti timu ishinde na mseme ni matunda ya uturuki....ngoja kichapo kije tusikie visingizio ohh kulikuwa na vita uturuki...

Na kwa huyu Kocha, kashasema kuna watoto hawa watacheza mechi nyingi sana za ligi na kimataifa. Nyie endeleeni kuchezesha hao shikamoo jazz akina Nsajigwa ...

Huo wako ndo upuuzi,kwanini basi hamkupeleka hao Ma'yoso wenu kule U'mangani au mnafkiri hao Scouts wa Angola hawakujua kama mlikuwa kule mmepiga kambi? je wasingeweza kuwafatilia kule?,Ligi inaanza leo mtachezesha Yoso tena ili kuwaficha Wa'Angola? ile friendly mechi ilikuwa na umuhimu sana kwenu,kwa vyovyote vile ingewasaidia kujua mapungufu ambayo yalisalia baada ya kupokea vipigo kwa team za mashirika na jeshi za kule Oman,unaidharau Blackpool ksbb inashika nafasi za chiniX2 katika Ligi kuu ya Africa Kusini bila kuangalia u'tofauti uliopo kati ya Ligi ya kule na hii Ligi yetu ya madafu hapa nchini au mashindano ya mashirika ya kule Oman ambapo nyie mlicheza na team shiriki,hii kweli ni akili au matope?
 
Bwana Mafuluto hlf unasahau kabisa kuwa record zinaonyesha team yako hupata shida sana ku'vuna point hata kama ni 1 pindi mnapokutana na team zilizo katika nafasi za chini hata katika hii Ligi yetu ya madafu mfano...kumbuka mlivyo'pambana kupata point 1 mbele ya Polisi Dodoma iliyokuwa mkiani kabisa kwenye duru la kwanza,bila kusahau Mgambo Shooting ambao walianza kufufukia kwenu......sasa binafsi najiuliza kama team hizi za chinichini zinazoshiriki katika Ligi ya madafu huwa zinakutoa kamasi vipi za Ligi kuu ya Africa Kusini?
 
Last edited by a moderator:
Tuna mechi mhimu sana kesho kutwa ache madogo wakuze vipaji maana ndiyo timu yetu ya mwakani...ukiona anae kufaa tuna wauza USD 300,000 kwa mchezaji simba haina mchezaji wa mil 20 za kibongo...

Keshokutwa ndo leo? ngoja tuone mazoezi ya Oman maana Kaseja kama alienda kufanya shopping
 
This is one of the silly BS I have ever heard in futbol...!!
Yaani wewe dunia nzima inalia soka la vijana likuzwe, na hawa vijana juzi juzi tu wamewatoa jasho full skuad ya Azam kule zenji.
Sasa wewe unaongea ----- gani, hayo maagizo aliyatoa wapi, au mlikuwa nyie wawili tuu ?? Jus simple common sense ligi inaanza in three days, na kuna scouts wa Angola wapo nchini kupeleleza simba sasa kuna ulazima gani kuchezesha kikosi cha kwanza ktk mechi maharagwe kama hii, timu yenyewe inashika nafasi ya sijui 15 kati ya timu 17...!!

Subiri uone in 2-3 years nani atakuwa anatamba ktk soka la bongo au hata nje kati ya yosso wa Simba na timu nyingine.

Confidence inajengwa hivi, na hata hao akina Pique, Sterling, Rooney, Fabregas, au hata Messi na mayanki kibao wa Barca walipatikana kwa kuanzia ktk mechi kama hizi..!! Nyie tatizo mnatumia usanii kufukia mashimo, madeni hela zimeliwa sasa mnahonga marefa mechi za kirafiki eti timu ishinde na mseme ni matunda ya uturuki....ngoja kichapo kije tusikie visingizio ohh kulikuwa na vita uturuki...

Na kwa huyu Kocha, kashasema kuna watoto hawa watacheza mechi nyingi sana za ligi na kimataifa. Nyie endeleeni kuchezesha hao shikamoo jazz akina Nsajigwa ...

attachment.php

Naona mlienda kujumua pamba na sandos za kulia ubwabwa
 
Mimi sidhani kama wewe unaujua mpira au michezo kwa ujumla. Sijui kama kuna kitu kinaitwa "upsets" ktk michezo umewahi kukisikia, hasa kwa wenzetu ligi za nje sio hizi za Manji au Sefu Magari kuhonga marefa, makamisaa na huku Angetile akifanya kazi zake za fitna akiwa katibu wa TFF ! Mimi nimeucheza, na nimeshiriki na najua wazi hata hao polisi, sijui mgambo ni sehemu tu ya timu kukamia, kuhaidiwa madonge na wakati mwingine mbinu zao zinafanikiwa maana ukiweza kuwajaza hasira some players kama binadamu inawezekana kabisa kuwatoa michezoni. Hivi Azam, Yanga ect hawajawahi kufungwa na timu ndogo, what about Barca, Manu au hata Man City na Real Madrid...??

Mimi nilipigania sana haw jamaa kuanzisha timu za vijana, na experiment yangu miaka ileee ndiyo ilizaa akina shekhan, John n.k na hawa tulikuwa tunawapambanisha na timu A na wanatoa droo au kuwafunga timu A ya akina Mwameja, Masatu, Nteze ect.

Hii ya kuendelea kusajili vijeba, aka vikongwe akina Nsajigwa tunawaachia nyie. Wewe subiri uje uone, na ndiyo maana utaona ni timu gani inashikilia record ya kuuza players nje na kuna uhakika wa kufanya hivyo tena na tena.

Nimeshanga sana hata huyu naibu waziri ana mawazo hayo hayo, na nimemwandikia barua ya wazi kumtaka awaombe radhi hawa madogo kwa sababu kama huo ndiyo mtizamo wake basi hafai kabisa kuwa waziri wa michezo. Ona FIFA inavyowekeza ktk timu za vijana, sasa huyu anaibuka na ushabiki wa kariakoo, eti ni naibu waziri...!!!

Again, timu inayoshika nafasi ya 15 kati ya 17 ktk ligi ni wachovu tuu. Hata nyie mngekuwa na timu nzuri, mngewafunga zaidi ya 5 na sio kutegemea kupewa matuta...!!

Bwana Mafuluto hlf unasahau kabisa kuwa record zinaonyesha team yako hupata shida sana ku'vuna point hata kama ni 1 pindi mnapokutana na team zilizo katika nafasi za chini hata katika hii Ligi yetu ya madafu mfano...kumbuka mlivyo'pambana kupata point 1 mbele ya Polisi Dodoma iliyokuwa mkiani kabisa kwenye duru la kwanza,bila kusahau Mgambo Shooting ambao walianza kufufukia kwenu......sasa binafsi najiuliza kama team hizi za chinichini zinazoshiriki katika Ligi ya madafu huwa zinakutoa kamasi vipi za Ligi kuu ya Africa Kusini?
 
attachment.php

Naona mlienda kujumua pamba na sandos za kulia ubwabwa

Sawa kaka, nyie mizigo yenu si ilitangulizwa kwa makontena ya pembe kuuzwa, na malipo yakaja kwa makontena ya unga...na inapokelewa na kusindikizwa na ving'ola.... !! Uturuki safari imesaidia kuja kuongeza mateja nchini.... halaf mtaibuka na mapicha kujifagilia mmesaidia akina Ray C... !!
 
Biashara kubwa kubwa hizo za msomali wenu Rage na Kinana
 
Na boss wao pale mjengoni ambaye nyumba ndogo ndiyo ktk kuzima kelele inajifanya kufadhili Simba sio.... teh teh teh..

hahaha yule mama etu mdogo nilimwona ziara ya Oman sijui ndo alifadhiri? Alafu mbona timu yake ya African Lyon anaitupa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom