adakiss23
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 4,937
- 5,359
Kama kawaida Mnyama Unyamani kama kawaida analeta burudani ya kutosha pasi za kutosha, chenga za maudhi, kasi ile ile, maujanja ya kutosha n magoli ya mbele nk. Si unajua tena mnyama soka la kitabuni sio kama wale wenye rangi za matembele game ikiisha lazima ule pain killa shingo inauma full kupiga ndege.
Nmeshajongea eneo la tukio.
Game inaanza 18:30 kama mbele sio wanaocheza saa sita mchana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Nmeshajongea eneo la tukio.
Game inaanza 18:30 kama mbele sio wanaocheza saa sita mchana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums