SimbaSc v Black Leopard Live Updates

SimbaSc v Black Leopard Live Updates

321089_470832172974978_1089067552_n.jpg
 
Manji anawasaanii tu wavaa ndala. Katika mapatano ya ziara ya paka, inasemekana conditions zilikuwa ni kwamba ili wagarimiwe na Manji basi ni budi wakubali kufungwa x 2

watu eeh watu haa. no research no right to speak!
 

mkuu, ktk soka lazima upate moja kati ya haya:
1. Kufunga
2. Kufungwa
3. Sare
nikutakie usiku mwema.
 
Mi nimewaambia jamaa walienda kufanya mazoezi ya kula tende na kunywa gahawa.
 

mkuu, ktk soka lazima upate moja kati ya haya:
1. Kufunga
2. Kufungwa
3. Sare
nikutakie usiku mwema.
 
Ni aibu na maajabu kuona manazi wa Yanga wanapiga kelele hapa wakati tunachezesha Yosso watupu kwa nia njema ya kuwajenga na kutengeneza akina Messi wa kesho na pia tunajua wale waangola wapo hapa sasa ndo watachanganyikiwa. hatuwezi kuweka kikosi cha kwanza kwa timu hii inayoshika nafasi ya chini kutoka juu..

Sasa nyie timu ya baba Rz1 mmepanga kikosi kamili na kuishia kushinda kwa matuta mechi mbili....mnahonga marefa hata mechi za kirafiki eti ili kushangilia uturuki (hivi umesikia timu gani ya ulaya imetia kambi uturuki..?? )

...Subirini ligi ianze tuwanyuke ndo mtajua uturuki wanakaa kambi za jeshi sio mpira...ha ha ha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom