WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Ila YANGA ni hatari,yani wamesajili hadi washabiki wa Simba?!!!
Jamani gemu vp limeanza?
Mkuu 8 hazifiki lakini watakiona cha moto leo,hivi kama uko sawa unaweza kwenda kufanya mazoezi Oman,au walikwenda kupumzika kwa ajili ya Maulid kesho???!!
Yeah, wamemsajili Yusuf Manji (mwanachama wa Simba) na hadi wamempa uenyekiti. Chezea Yanga wewe!Ila YANGA ni hatari,yani wamesajili hadi washabiki wa Simba?!!!
Kama kawaida Mnyama Unyamani kama kawaida analeta burudani ya kutosha pasi za kutosha, chenga za maudhi, kasi ile ile, maujanja ya kutosha n magoli ya mbele nk. Si unajua tena mnyama soka la kitabuni sio kama wale wenye rangi za matembele game ikiisha lazima ule pain killa shingo inauma full kupiga ndege.
Nmeshajongea eneo la tukio.
Game inaanza 18:30 kama mbele sio wanaocheza saa sita mchana.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mkuu umeingia tu humu bila kusoma comment za wadau?!haya umeshaanza na tayari mnako kamoja.
Yeah, wamemsajili Yusuf Manji (mwanachama wa Simba) na hadi wamempa uenyekiti. Chezea Yanga wewe!
Mkuu nimetoka msibani nikaangalia za mwanzo kumbe simba kapakatwa na nyau.
Mkuu gahawa itakuwa imekimbilia miguuni
Bado 1-0 ila la masia wanaucheza. Naamini hata aliye uwanjani ataniunga mkono
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
simba hana pembe kama mbuzi fananisha na mnyama mwingine
Aisee huyu kijana Singano ni hatari sana sema hajapata tu uzoefu.
Mkuu simba ni Crashwise naona kajificha kwa Rage naona Julio alienda Oman kufanya mazoezi ya kula tende
Ameiva kama Msuva huko Oman?
Weeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!Thubutu,hakuna mchezaji hata mmoja simba wakumlinganisha na mchezaji wa Yanga kwa sasa,na kibaya zaidi kuondoka kwa Okwi ndio kumemaliza kabisa ubora wa Simba,kwangu mimi huyo ndiye alikuwa mchezaji simba na siku zote nimekuwa nikisema,na ushahidi ndiyo huo hapo alipo hivi sasa.