mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,840
Si umeambiwa Samia alikuwa anataka kuangalia hyo MECHI
Mbona hamkuhoji sababu za kusogezwa mbele?
Mbona hamkuhoji sababu za kusogezwa mbele?
Yanga barua yao ina maneno machache tu, wakiambatanisha kifungu cha sheria kusupport wanachokiongelea.Msemaji wa nchi kwani anasemaje? Manake ule mwandiko ni wake. Gazeti lefu lisilo na maana.
Key word its affairs. Nitajie stadium yoyote wanayo milki TFF."Each member association shall manage its affairs independently without influence from third part".
Wewe ndiyo kilaza kweli yan! Hiyo hapo ina maana gan wewe kiaz!
sikuelewi mkuu! logic yako ilikuwa ni nini yan!Key word its affairs. Nitajie stadium yoyote wanayo milki TFF.
TFF wapo na security!?
Mbona FIFA wapo open kabisa.
Serikali mambo ya uchaguzi, mambo yanayohusu uamuzi ndani ya uwanja nk hawatakiwi kuingiliwa.
Kutopeleka timu uwanjani maana yake wameikubali taarifa. Wao waliikataa, ndio maana wakaendelea na ratiba ya awali.Yanga kama walipewa taarifa wakaikataa wasingepeleka timu kabisa uwanjani hii ni janjajanja ya kukwepa kipigo
Kamati ya masaa 72, hivi ninavyoongea ipo kwenye kikao chake tutaleta mrejesho hapaUsikaze kichwa Sana mkuu...TFF c wapo ,watakuja jibu mkuu relax....🤣🤣
Yanga mlipanic,mbona amuelezi kusogezwa mbele kwa mechi kuliwaletea madhara gani na nyie mdai fidia maana simba hakutokea saa 11.Mbona hamkuhoji sababu za kusogezwa mbele?
Sijaongea logic yoyote hapo. FIFA wameongelea its Affairs. Sasa kitu gani hakieleweki hapo!?sikuelewi mkuu! logic yako ilikuwa ni nini yan!
Are u own brain just located under your balls, huh!Sijaongea logic yoyote hapo. FIFA wameongelea its Affairs. Sasa kitu gani hakieleweki hapo!?
Unaweza ukaandika kwa kiswahili. Maana mimi ni mswahili. Kingereza chako cha kuunga unga ni ujinga.Are u own brain just located under your balls, huh!
Naona ubongo wako umefika mwisho wa kufikiri, siyo mbaya ukaubusti hata na bange mkuu!Unaweza ukaandika kwa kiswahili. Maana mimi ni mswahili. Kingereza chako cha kuunga unga ni ujinga.
Nadhani waliosogeza mbele, ilibidi watangulie na kutoa sababu ya kufanya hivyo. Sio kutoa tu order as if wanadeal na watoto.Yanga mlipanic,mbona amuelezi kusogezwa mbele kwa mechi kuliwaletea madhara gani na nyie mdai fidia maana simba hakutokea saa 11.
Simba wameondoka kabla ya saa 1 kamili sasa wanapewaje point?Japo mimi ni Simba SC ila kwa hili tamko lao lililokosa support ya kanuni au sheria kupinga kile walichosema Yanga SC jana kuhusu kanuni ya ligi No. 15 (10) wamekosea.
Nawaona Simba wametoa sababu nyepesi sana, unless kama hiyo kanuni waliyoitoa Yanga iwe na exception kwamba inaweza badilika kulingana na mazingira fulani yatayojitokeza ndio Simba waitumie hiyo exception but not otherwise.
UPDATE:
Nimeona Rage amesema hicho kifungu walichonukuu Yanga SC kina exception kama nilivyoeleza pale juu, Rage anadai Yanga hawakusoma sheria yote japo nae hajanukuu hicho kifungu cha kanuni, ila kama huu ndio ukweli basi Simba SC wanaelekea kuwa sahihi kwa ule uamuzi wao wa kuingiza timu uwanjani saa moja usiku.
TFF walicheza mchezo wao mapema kwa kutangaza mechi imeahirishwa kabla Simba haijapeleka timu dimbani.Kinyume na hapo simba,na waamuzi wangeingia uwanjani kuanza mchezo na hapo hoja ya point 3 ingekuwa na nguvu.Simba wameondoka kabla ya saa 1 kamili sasa wanapewaje point?
Hiii ngoma imekaa vibaya suluhisho kupanga ratiba upya.
Sometimes huwa unaandika point,huwa nakuchukulia kama kijana asiyejua chochote na aliyejaa good for nothing issuesJapo mimi ni Simba SC ila kwa hili tamko lao lililokosa support ya kanuni au sheria kupinga kile walichosema Yanga SC jana kuhusu kanuni ya ligi No. 15 (10) wamekosea.
Nawaona Simba wametoa sababu nyepesi sana, unless kama hiyo kanuni waliyoitoa Yanga iwe na exception kwamba inaweza badilika kulingana na mazingira fulani yatayojitokeza ndio Simba waitumie hiyo exception but not otherwise.
UPDATE:
Nimeona Rage amesema hicho kifungu walichonukuu Yanga SC kina exception kama nilivyoeleza pale juu, Rage anadai Yanga hawakusoma sheria yote japo nae hajanukuu hicho kifungu cha kanuni, ila kama huu ndio ukweli basi Simba SC wanaelekea kuwa sahihi kwa ule uamuzi wao wa kuingiza timu uwanjani saa moja usiku.
HUNA AKILIUnaweza ukaandika kwa kiswahili. Maana mimi ni mswahili. Kingereza chako cha kuunga unga ni ujinga.