Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Mkuu nilisharudi machakani saizi nami napata updates kupitia hapa. Mbuzi yake kamba wala hatuna shida, Toto tutawazaba tu mbili warudi kwao Mwanza wakavune pamba.

Sawa kamanda nimekusoma.
Dakika ya 70 Simba 0-0 Toto Africans.
 
bora nikajitafutie kili baridi nipumzike maana hapa sioni updates yoyote zaidi ya porojo.
 
Mkuu Mwita Maranya, shemejio nimepotea Dar mara mbili tangu nije.....sasa katika pitapita yangu ndio nakuona humu, niPM nikupe namba ya simu tuongee... Ila niko fiti kama mbwa wa polisi kwa niliyoyaona hapa Bongo.
Mzee wa Rula lete updates toka national stadium.
Nimesikia minong'ono kwamba toto africans wamegoma kupokea mpunga, wanataka muongeze dau.
Kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwenu lazima mfungue pochi nene ili mpate ushindi.
 
hawa watoto wa africa wanatakiwa wachapwe ili wajiandae vzri round ya pili wasishuke daraja
 
Nipo Kivukoni Soko la Samaki raia wanashangilia Simba alivyokichezea
 
Back
Top Bottom