Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

simba sasa inabidi waamuke waacha kuzarau timu
 
confirmed... simba 0 - 1 toto

weweeeeeeee???????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!,sema kweli mbona naanza kusikia harufu ya fimbo pale maeneo ya Msimbazi?????!!!!

Mawe Matale umeiona hii kamanda wangu,haki ya mama yangu mzazi nimeanza kuona nyotanyota.fimbo hizoooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo.
 
Mpira umekwisha kutoka Mkwakwani.
Mgambo 2 - 1 Azam
 
Sijapenda Simba kufungwa! Toto Africans inabidi nao wachunguzwe huenda wametoa rushwa. Loo!

Samahani Makoye Matale kuna moja ya Comment zangu nimekosea kukuita Mawe Matale niwie radhi.Hivi unajua sijaamini kama kweli simba wamechapwa kamanda wangu??!!!,hebu fuatilia kwa sababu nilisikia wakipigwa leo lazima fimbo zitembee pale maeneo ya msimbazi,mimi mitaa hiyo sasa naogopa hata kupita.
 
Boban, Nyosso na Kaseja warudi kikosini haraka sana vinginevyo kila siku wana-Simba tutaendelea na masikitiko tu.....wachezaji wote wana-mgomo baridi wa chini kwa chini
 
Back
Top Bottom