ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
huna jeuri wewe ulimuweza nchunga, manji kwenu kina kirefu we na bwanako simba yanga hamuiwezi
heheeheeee kesho mnakufa tu mbona simpo tu..
huna jeuri wewe ulimuweza nchunga, manji kwenu kina kirefu we na bwanako simba yanga hamuiwezi
Nani mchawi wa mnyama?
acheni hizo;ukabila tu.
hiyo ndio lugha yangu,nkazaliwa nkaikuta na nkafundshwa,kiswahili nimekijua juzijuzi tu..wanaochanganya kiswahili na english wanaonekana wastaarabu..jina langu la kilugha,je,unanishauri nibadilishe ili kuondoa ukabila?ACHENI UTUMWA,PENDA VYAKWENU!
Kumaso ngati lyolyafyelile!
Etata ejobhaaa omparamani gwango afwile hahahahaaaaaaaa, mwekundu umegeuka mweusii.
du! we jamaa hiyo lugha unanikumbusha kukaja kwa kyela kule katumbasongwe,tena nilivyo na furaha sijui hata cha kufanya kufurahi kwa mnyama kupakatwa,pole sana mkuu,mzee wa Rula,yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Ni aibu kwakweli: tumeanza kwa:-
1. Kushinda mfululizo
2. Drooo mfululizo
3. Na sasa ni kufungwa mfululizo
Wapi sasa tunako elekea!!!!!!
hiyo ndio lugha yangu,nkazaliwa nkaikuta na nkafundshwa,kiswahili nimekijua juzijuzi tu..wanaochanganya kiswahili na english wanaonekana wastaarabu..jina langu la kilugha,je,unanishauri nibadilishe ili kuondoa ukabila?ACHENI UTUMWA,PENDA VYAKWENU!
Kumaso ngati lyolyafyelile!
kokaja ko ngonga one kaka daa kumbe majirani bana hahahahahaaa, leo nafuraha sana nkamu daaa
Nani mchawi wa mnyama?
Mnya ameshindwa kununua mechi ya jana.
we jamaa mmbayaaaaaa wewe! ulijuaje mkuu,du! we mkali kweli watabiri bado wapo akina sheikh yahya,nimekukubali mkuu