Mzee wa Rula
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 8,169
- 3,360
Utavifutaje sasa? Yanga wanaume wa ukweli wakipanda juu huwa hawashuki hadi mwisho wa ligi yaani hadi waneno haya yasikike 'mgambire enough Yanga' ndipo wanaume wanashuka na kusema 'OK' huku wakibeba kombe lao kama kawaida.
Sikutegemea maneno tofauti na hayo uliyoandika hapa, time will tell.