Toto nipigieni hao wazee wa Mlungul.a
Namanyele,Makoye Matale ziko wapi Updates humu ndani,semeni kama mtu kashauawa,mmekaa kimya ama hamko ndani ya Taifa nini?????
Hivi kuna timu hapa Tizedaa inanunuabmechi kushinda yanga? Kama ipo basi hiyo huo si mkungula utakuwa mlungulo!
Simba 0-0 Toto Africa.
Naambiwa JKT Mgambo anaongoza goli moja kutoka Mkwakwani.
Mgambo JKT 1-1 Azam.
hivi kuna timu hapa tizedaa inanunuabmechi kushinda yanga? Kama ipo basi hiyo huo si mkungula utakuwa mlungulo!
Tchetche.Nani msawazishaji?
Na Taifa vipi!!!!!!!HT: Mgambo JKT 1-1 Azam.
crocozilla kume na wewe huwa una matatizo yanayohitaji tiba etieeeeeeeeeeeeeeee,usirudie tena kuongea maneno kama haya mbele za watu angalia,ogotolwa obhebhe!!!!!!!!!!!!!!!
Taifa bado bila bila dak 42.Na Taifa vipi!!!!!!!