Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
Habari wanajamvi,kama kawaida yetu leo tutakuwa tukijuzana matokeo na matukio mbalimbali yatakayojiri uwanja wa taifa na vingine mikoani,Mzee wa Rula mimi nitakuwepo uwanja wa taifa live kushuhudia mechi ya simba na toto africa,nakumbuka ulinilaumu kuwa naanzisha thread halafu siendi kiwanjani wakati mechi zote za dar huwa nakuwepo pale taifa
 
tupe updates jukwaa la mnyama limeshapendeza?
 
Kwa kuwa mechi ya Simba a.k.a Waze wa Mulungula na Toto ni mechi ya aina yake, nashauri wana JF mlioko mikoani muwe mnaweka matokeo ya huko kupitia hapa hapa ili kuepuka kuvinjari katika nyuzi mbalimbali.

Natanguliza shukrani kwa ushirikiano wa wana JF wote.
 
wazee wa mlungula leo hawana boss wao wa milungula kaburu aka kaburi
 
Leo tuna hasira tunambanjua toto goli tano.. Okwi 2 sunzu 1 kiemba 1 ngassa 1. Ndo najongea taifa na mie. Tukutane uko

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wazee wa mlungula leo hawana boss wao wa milungula kaburu aka kaburi

Yuko wapi, au naye amesusa baada ya kusutwa na vibaka wa pale Msimbazi? Hivi kale ka mgomo ka Simba kucheza na Toto Jumamosi kameishia wapi?
 
Habari wanajamvi,kama kawaida yetu leo tutakuwa tukijuzana matokeo na matukio mbalimbali yatakayojiri uwanja wa taifa na vingine mikoani,Mzee wa Rula mimi nitakuwepo uwanja wa taifa live kushuhudia mechi ya simba na toto africa,nakumbuka ulinilaumu kuwa naanzisha thread halafu siendi kiwanjani wakati mechi zote za dar huwa nakuwepo pale taifa

Karibu sana mshua.
 
namanyele pamoja sana mdau hayo ndiyo mambo yanayotakiwa kufanya endapo unaanzisha uzi. Leo Mnyama ni lazima atakate tu, sina mashaka na hilo kabisa.
 
Kwani rushwa ndiyo inafunga magoli???? Washabiki wa Yeboyebo acheni zenu,

Aaa, Mkuu, hujui nguvu ya pesa? Rushwa ni sawa na kusafiri na ndege angani huna hofu ya safari kuvunjwa na kujaa kwa mto, ingekuwa rushwa haifungi goli mbona kule Azam kumechimbika?
 
Aaa, Mkuu, hujui nguvu ya pesa? Rushwa ni sawa na kusafiri na ndege angani huna hofu ya safari kuvunjwa na kujaa kwa mto, ingekuwa rushwa haifungi goli mbona kule Azam kumechimbika?

Tehe tehe tehe, mbaazi ikikosa maua ndiyo yale ya kule Azam.
 
Yote haya ni kwa sababu ya vipoint vitatu unavyoongoza ligi?????

Utavifutaje sasa? Yanga wanaume wa ukweli wakipanda juu huwa hawashuki hadi mwisho wa ligi yaani hadi waneno haya yasikike 'mgambire enough Yanga' ndipo wanaume wanashuka na kusema 'OK' huku wakibeba kombe lao kama kawaida.
 
Jitaidi kamanda,jitaidi sana najua hapo leo kunaweza kutokea machafuko kwa sababu wakifungwa tu simba na Toto kimenuka,na hivi nasikia kwamba walikuwa wanatunzwa na Yanga,sijui!!!!!!!!!!
 
Weweee wazee wa vibunda vya pesa. Azam kumbe leo wapo nje ya kibaha, nilijua mechi ni ESTADIO DELA CHAMANZI. Thanx Mphamvu.
 
Back
Top Bottom