Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

leo viongozi wa toto watajuuta kutoa ahadi manake timu ina miezi kibao bila mshahara sasa hiyo laki 5 kwa kila mchezaji watatoa wapi?
 
Boban, Nyosso na Kaseja warudi kikosini haraka sana vinginevyo kila siku wana-Simba tutaendelea na masikitiko tu.....wachezaji wote wana-mgomo baridi wa chini kwa chini

Hapo ndo kipondo kitatembezwa kama kawa,ni lazima wawatimue wote kama wanahitaji usalama,halafu kile kikosi cha Matola kilichochukua ubingwa wa Super Cup kiko wapi jamani wanasimba????,kile kikosi nakwamba hata yanga ile ya mwaka jana inaiogopa lakini siyo hii ya sasa,hii ya sasa hivi haina breki inaweza kukugonga mpaka ikakusigina.
 
Samahani Makoye Matale kuna moja ya Comment zangu nimekosea kukuita Mawe Matale niwie radhi.Hivi unajua sijaamini kama kweli simba wamechapwa kamanda wangu??!!!,hebu fuatilia kwa sababu nilisikia wakipigwa leo lazima fimbo zitembee pale maeneo ya msimbazi,mimi mitaa hiyo sasa naogopa hata kupita.

Usijali Mkuu, ni kweli Simba kapakatwa. Nimepigiwa simu toka Dar, very sady information.
 
leo mtasemaje au mtasimamisha beki na kipa?

kutoka kwa hasan mvula timu zilikuwa zinashambuliana na kingine ni kwamba beki kwa sasa azam ndio tatizo ila tutarekebisha tu..
 
Hapo ndo kipondo kitatembezwa kama kawa,ni lazima wawatimue wote kama wanahitaji usalama,halafu kile kikosi cha Matola kilichochukua ubingwa wa Super Cup kiko wapi jamani wanasimba????,kile kikosi nakwamba hata yanga ile ya mwaka jana inaiogopa lakini siyo hii ya sasa,hii ya sasa hivi haina breki inaweza kukugonga mpaka ikakusigina.
Ni aibu kwakweli: tumeanza kwa:-
1. Kushinda mfululizo
2. Drooo mfululizo
3. Na sasa ni kufungwa mfululizo
Wapi sasa tunako elekea!!!!!!
 
kutoka kwa hasan mvula timu zilikuwa zinashambuliana na kingine ni kwamba beki kwa sasa azam ndio tatizo ila tutarekebisha tu..

hahaha mpira wa tz ndo hivyo fitina mwisho timu nyanya huwa zinakomaa kwa timu kubwa utadhania ni fainali
 
Mkuu nilishasema niko bush, nikumbushe tune ya wimbo huu wa pambio:

1. Bwana wa mabwana hapoke ru...

2. To-to A-fri-ka ha-po-ke-i ...shwa!
muwape hizo laki5 zao na mlipe mishahara yao ya miezi 4
 
Back
Top Bottom