Simba sc V/s Toto African: Live updates from National Stadium

Nilisikia wanasema watagoma kucheza kama na wale jilani zao hawatacheza leo eti wanaweza panga matokea vp imekuaje nanon'gonezwa kumbe wanacheza na jangwani ya jijini mwanza hapo kazi tu.
 
Hiyo jeuri waitoe wapi????hata siku moja na hivi washachanganyikiwa????!!!!!
 
Nilisikia wanasema watagoma kucheza kama na wale jilani zao hawatacheza leo eti wanaweza panga matokea vp imekuaje nanon'gonezwa kumbe wanacheza na jangwani ya jijini mwanza hapo kazi tu.

Walikuwa wanatishia nyau, TFF ilifunguka ikasema wasipotinga uwanjani itakula kwao. Nao wakaona hata hiyo point 1 si haba, wameifuata Taifa.
 
Kudadadeki chezea TFF wewe alie juu atakuwa juu siku zote leo akifungwa sijui itakuaje hv mh.rage yupoau ndo yuko india kwa matibabu maana sijamsikia kitambo au nae ndo kama yule jamaa wa pale magogoni mambo mazito anakwenda nje ya nchi ha!ha!ha!
 
....eh! walioko uwanjani tujuzeni japo kwa kifupi kasi iko vp hapo Taifa: Simba wanacheza unaoeleweka au ndo hivyo butuabutua kama za Yanga, kama kama unaeleweka kikwazo ni nini mpaka wasipate goli!!!!!
 
Mzee wa Rula lete updates toka national stadium.
Nimesikia minong'ono kwamba toto africans wamegoma kupokea mpunga, wanataka muongeze dau.
Kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwenu lazima mfungue pochi nene ili mpate ushindi.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu nilisharudi machakani saizi nami napata updates kupitia hapa. Mbuzi yake kamba wala hatuna shida, Toto tutawazaba tu mbili warudi kwao Mwanza wakavune pamba.
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula lete updates toka national stadium.
Nimesikia minong'ono kwamba toto africans wamegoma kupokea mpunga, wanataka muongeze dau.
Kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwenu lazima mfungue pochi nene ili mpate ushindi.
hayo ni maneno tu ata na kwenye khanga yapo.
 
Last edited by a moderator:
Mzee wa Rula lete updates toka national stadium.
Nimesikia minong'ono kwamba toto africans wamegoma kupokea mpunga, wanataka muongeze dau.
Kwa jinsi hali ilivyo mbaya kwenu lazima mfungue pochi nene ili mpate ushindi.

Mkuu Mwita Maranya ulikuwa wapi mbona ghafla au ulikuwa shamba.
 
Back
Top Bottom