Simba SC tusipozicheza 'Kimkakati' na 'Kimafia' hizi Mechi Tatu za Yanga SC tusahau 'Ubingwa' tena na Msimu huu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,784
109,448
Naomba nipewe hilo jukumu na niwe na watu hawa Idi Kajuna (mtani wangu wa Kihaya), mafia mwenzangu Kassim Dewji (KD), Mandanje mzee wa kujilipua na mvaa mabomu na poti wangu kutoka kwetu mkoani Mara (Musoma), msomi na tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika mechi zao hizi tatu zijazo.

Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke sare (waangushe alama mbili), ya Singida Big Stars FC (japo ni ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba) tunataka nayo watoke sare (waangushe alama mbili tena), na ile ya Namungo FC (ambao ni ndugu zetu kabisa) tunataka Yanga SC wafungwe ili waangushe jumla ya alama (points) saba (7) tu kisha kazi imalizike.

Simba SC nitafuteni haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na mzigo (hela) wangu ili nizicheze hizi mechi zao kubwa na muhimu tatu tu sawa?

Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi mechi zao tatu na sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka sare au hata kufungwa na ile ya Namungo FC wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka sare basi GENTAMYCINE nasema wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba (watauchukua) tena.
 
Naomba nipewe hilo Jukumu na niwe na Watu hawa Idi Kajuna ( Mtani wangu wa Kihaya ), Mafia Mwenzangu Kassim Dewji ( KD ), Mandanje Mzee wa Kujilipua na Mvaa Mabomu na Poti wangu kutoka Kwetu Mkoani Mara ( Musoma ) Msomi na Tajiri Crescentius Magori ili Yanga SC walie katika Mechi zao hizi Tatu zijazo.

Ya Kagera Sugar FC tunataka watoke Sare ( waangushe Alama Mbili ), ya Singida Big Stars FC ( japo ni Ndugu zao kupitia Waziri wa Fedha Nchemba ) tunataka nayo watoke Sare ( waangushe Alama Mbili tena ) na ile ya Namungo FC ( ambao ni Ndugu zetu kabisa ) tunataka Yanga SC Wafungwe ili Waangushe Jumla ya Alama ( Points ) Saba ( 7 ) tu kisha Kazi imalizike.

Simba SC nitafutenu haraka GENTAMYCINE na mniwekee kabisa na Package ( Hela ) yangu ili nizicheze hizi Mechi zao Kubwa na Muhimu Tatu tu sawa?

Nawaonya kama Simba SC tusipozicheza hizi Mechi zao Tatu na Sisi leo dhidi ya Ihefu FC tukatoka Sare au hata Kufungwa na ile ya Namungo FC Wiki ijayo nayo tukafungwa au kutoka Sare basi GENTAMYCINE nasema Wazi na hapa hapa JamiiForums kuwa Ubingwa wa NBC Premier League kwa Msimu huu tena tuusahau na Yanga SC wataubeba ( watauchukua ) tena.
Mtagongwa tu na ubingwa mtausikia kwa YANGA
 
Genta! Wewe mwanasimba kindakindaki. Jitolee bure hela ya nini?
 
Mpigie Mwamedi atashusha mzigo wa maana halafu ni PM tuje kuubwenga.
 
Gentamycine bhana imebidi nicheke tu hakuna namna maana una visa sana aisee
 
Ngumu sana simba kufungwa au kutoa draw na Ihefu
 
Wachezaji wa Simba wapo kifaza snaa ,nakerekaga Sana wakipata goli moja au mawili wanavyoaanza kucheza na majukwaa au kupiga vi backpasses visivyo na manaa ,yaan hawajui faida ya magoli hapo baadae yanaweza wasaidia.
Ile game na mtibwa ingekuwa ndo yanga kapata ile bahat ya kucheza na timu yenye upungufu wa wachezaj wawil wangejipigia hata kumi ,nawaona watan wangu wapo serious Sana muda wote tofaut na hii Simba yangu ufadha umejaa Sana.

Game ya Leo na ihefu anashinda Simba Tena watajituma Sana kusawazisha draw na singida ,baada ya hapo wachezaj watakimbilia insta na Twitter kujipost na kujinad Sana ,mechi inayofuata watapigwa km sio kudraw .
Kwa Simba hii naziona draw nyingi Sana huko mbelen Sion timu ya kubeba ubingwa huu msimu ,.
 
Back
Top Bottom