Hizi hapa mechi za Simba sc na Yanga Sc baada ya kutoka kimataifa, Sasa ni zamu ya Nbcpl.

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,206
12,732
Simba itacheza michezo minne ya ligi kuu mwezi wa tatu.

1. March 06, Simba vs Tanzania Prison
2. March 09, Coastal Union vs Simba
3. March 12, Simba vs Singida FG FC
4. March 15, Simba vs Mashujaa FC

* michezo yote ya nyumbani ya Simba itapigwa katika uwanja wa CCM Jamhuri Morogoro

* Yanga SC itacheza michezo minne ya ligi kuu soka Tanzania Bara mwezi huu wa tatu.

1. March 08, Namungo FC vs Yanga SC
2. March 11, Yanga SC vs Ihefu SC
3. March 14, Yanga SC vs Geita Gold FC
4. March 17, Azam FC vs Yanga SC..
1709551045674.jpg
 
Hii ratiba mbona kama haipo sawa.
Simba alikuwa na kiporo dhidi ya Mtibwa ambapo ilitakiwa kuchezwa kabla ya kwenda Ivory coast imekuaje haipo kwenye ratiba?
Yanga nae kiporo chake, ilikuwa dhidi ya JKT Tanzania je imekuaje imerukwa?
Mechi ya Simba na Mashujaa ni mechi iliyopigwa raundi ya mwishoni kwanini ipangiwe tena katika mechi za awali za mzunguko wa pili?

Kwanini hii ratiba wameamua kuivuruga kabisa hawa bodi ya ligi?
 

Attachments

  • IMG_20240304_155222.jpg
    IMG_20240304_155222.jpg
    552.3 KB · Views: 5
  • IMG_20240304_155043.jpg
    IMG_20240304_155043.jpg
    579.3 KB · Views: 4
  • IMG_20240304_154638.jpg
    IMG_20240304_154638.jpg
    571.5 KB · Views: 3
  • IMG_20240304_154602.jpg
    IMG_20240304_154602.jpg
    563.7 KB · Views: 3
Back
Top Bottom