Aalliyah Gulam Heidar
Senior Member
- Oct 3, 2017
- 116
- 155
Kila nafsi itaonja mauti. Pole sana Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki.
Nimesema ni pigo la 2 lakini hili ni zito kuliko lile! Je hivyo ndio kumlinganisha? Kama ndivyo basi Nisamehe sana sikudhamiria hiloPole sana nimechukia kumlinganisha mpenzi wako na baba yako
Asante Mkuu nimesoma kwa kina na hilo naliona kwenye mwili wanguPole sana mpendwa ,unajua wakati fulan mwanadamu anaitajika kua na Nguvu ya kukubali !! Nguvu ya kusahau kilichotokea ili kuweza kusonga mbele..
Ona, mawazo mengiii husababisha ubongo kuzalisha appetite suppressing hormone, hiii hupelekeaa kushuka kwa kiwango cha Cortisol na serotonin mwilin mwetu and the same time Adrenaline hormone humwaga nyingi mwilin , sasa matokeo yake,, mwili wote unajiona upo ktk maumivu ,, na kwsababu mwil upo ktk maumiv ,Kinachotokea unajikuta unajitahidi sana kutafuta Survivability nasio uponyaji wala matumain and Finally HATA CHAKULA HUTOWEZA KUKILA ,SABABU NACHO KINAKUPA PHYSICAL PAIN !!!
Nasababu huli chakula ,, Tumbo linalazimika Kumwaga Acid yake ambayo mwisho huishia kukwangua kuta za tumbo na utumbo na baada ya Muda utapata Madonda Tumbo ambalo linakua tena ni Pigo LA Tatu.
Nikuombe mpendwa ,,, sote tumepoteza wazazi Wetu, tumepoteza wapenzi ,ndugu na rafiki ,,tumepoteza watu ambao mwanzo hukuitaj ipite hata sekunde moja bila kumwona au kusikia sauti yake,, but what we gonna do ????? We have been born and raised with a Limit ,the point of no return itabakia kuwepo tu ..
Mmhhh mpendwa ,, kwann sasa mapito yako yakuamlie maisha ?? Yaharibu maisha ? Yakutie ktk matatizo makubwa zaidi ??.
Embu bana usiwe ivo ,, you are strong ,I say you are always strong na utabaki kua strong ,, I hope you can walk through that storm , I hope you can stand on the top of mountain nakusema "hakika nimeweza".
I hope you are such person who believe that ,the challenges are there to strengthen our conviction.
I hope you are strong to the extent that ,you believe Challenges are not there to run us over.
I hope u mwanamke imara who believe that , after the storm ,Comes fair weather.
I trust in you that ,you are such woman who believe after Sorrow ,Comes joy !!.
My dear ,, usiumie sana mapito ,you are strong , nawala hamna ambacho ndugu najamaa wamekuzidi ..
Take it from me ,,, *Every seed knows its time , So stay strong mama , the Sun will shine in your yard too*.
AiseePole sana mkuu!!
Mimi siku nasikia mzee wangu kafariki ilikua ni shwange!!
Mkuu hiyo ni mbaya hata kama alikutesa, Mungu mwenyewe hafurahii kifo cha mtu mwovu.Pole sana mkuu!!
Mimi siku nasikia mzee wangu kafariki ilikua ni shwange!!
Mkuu hiyo ni mbaya hata kama alikutesa, Mungu mwenyewe hafurahii kifo cha mtu mwovu.
Aahhh basi Fanya iv mdada ,, Kula biskuti kwa sana ..au chocolate Mara kwamara ,au cake Mara kwa Mara ,au kula vyakula aina vya fat , tafuta pipi ,, kwakua chakula chakawaida ningumu kupita kooni ,, Basi kwa huuu Muda jaribu kutumia vitu ivo km sehem ya lishe kwako , hii itasaidia kubalansi kiwango cha sukari mwilini ,, I know hapo ulipo Sukari imeshukaa ,kichwa kinauma , unahisi misuli imekua imepungua uzito ivi..... So Fanya hayooo ....na MWISHO HAKIKISHAAsante Mkuu nimesoma kwa kina na hilo naliona kwenye mwili wangu