Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

Mkuu Pole sana Katika Kipindi Hiki Kigumu Mwenyezi Mungu Akutie Nguvu
 
Pole sana mpendwa ,unajua wakati fulan mwanadamu anaitajika kua na Nguvu ya kukubali !! Nguvu ya kusahau kilichotokea ili kuweza kusonga mbele..

Ona, mawazo mengiii husababisha ubongo kuzalisha appetite suppressing hormone, hiii hupelekeaa kushuka kwa kiwango cha Cortisol na serotonin mwilin mwetu and the same time Adrenaline hormone humwaga nyingi mwilin , sasa matokeo yake,, mwili wote unajiona upo ktk maumivu ,, na kwsababu mwil upo ktk maumiv ,Kinachotokea unajikuta unajitahidi sana kutafuta Survivability nasio uponyaji wala matumain and Finally HATA CHAKULA HUTOWEZA KUKILA ,SABABU NACHO KINAKUPA PHYSICAL PAIN !!!

Nasababu huli chakula ,, Tumbo linalazimika Kumwaga Acid yake ambayo mwisho huishia kukwangua kuta za tumbo na utumbo na baada ya Muda utapata Madonda Tumbo ambalo linakua tena ni Pigo LA Tatu.

Nikuombe mpendwa ,,, sote tumepoteza wazazi Wetu, tumepoteza wapenzi ,ndugu na rafiki ,,tumepoteza watu ambao mwanzo hukuitaj ipite hata sekunde moja bila kumwona au kusikia sauti yake,, but what we gonna do ????? We have been born and raised with a Limit ,the point of no return itabakia kuwepo tu ..

Mmhhh mpendwa ,, kwann sasa mapito yako yakuamlie maisha ?? Yaharibu maisha ? Yakutie ktk matatizo makubwa zaidi ??.

Embu bana usiwe ivo ,, you are strong ,I say you are always strong na utabaki kua strong ,, I hope you can walk through that storm , I hope you can stand on the top of mountain nakusema "hakika nimeweza".

I hope you are such person who believe that ,the challenges are there to strengthen our conviction.

I hope you are strong to the extent that ,you believe Challenges are not there to run us over.

I hope u mwanamke imara who believe that , after the storm ,Comes fair weather.

I trust in you that ,you are such woman who believe after Sorrow ,Comes joy !!.

My dear ,, usiumie sana mapito ,you are strong , nawala hamna ambacho ndugu najamaa wamekuzidi ..

Take it from me ,,, *Every seed knows its time , So stay strong mama , the Sun will shine in your yard too*.
 
Poleni sana. Kifo ni kifo ila vifo vya ajali vinaumiza sana, vinakuja wakati hutegemei kabisa. Apumzike kwa Amani
 
Pole sana mkuu, ukipatwa na msiba kama haujawahi kukuta utaona kama ni matani ila inauma sana, Machozi ya mzazi kamwe hayawezi kuisha pale anapoondoka na kuacha familia yake.
 
pole sana dada kwa kupoteza nguzo muhimu maishani allah (t.w) akupe subira katika kipindi hiki kigumu kwako.
 
Pole sana mkuu
sympathy-messages-for-loss-of-father.jpg
 
Pole sana,

Hiyo ni asili ya mwanadamu kwamba ipo siku kila mmoja wetu mwili utaacha roho, ila ukweli huo hauondoi maumivu tuyapatayo pale wale wapendwa wetu au watu wetu wa karibu wanapotutoka.

Jitahidi uweze kuchangamana na wengine walau ikupe afueni na kukuondoa kwenye mawazo mengi ambayo yataweza pelekea kupata msongo wa mawazo ambao sio mzuri kwa afya yako na ya wale walio kuzunguka
 
Babangu alizawa tarehe 28/12/1958
Alifariki juzi tarehe 25/12/2017 kwa ajali
Kwa hakika katika maisha yangu yote hili ni pigo la pili baada ya pigo la aliyekua mpenzi wangu lakini naona hili ni zito kuliko
Siwezi kulala nikasemw nimelala usingizi bila kulia katikati ya usingizi.
Siwezi kula bila kumfikiria na wakati mwingine hata chozi hunitoka
Kwa siku hizi 5 tu Naona Dunia ni ngumu kuliko chochote,niwaangaliapo ndugu zangu naona wa wana afadhali kuliko Mimi najitahidi Ku behave kama wao lakini nashindwa
M/Mungu amrehemu baba yangu na kumpunguzia adhabu ya kaburi, nime jikuta nataka kubaki kijijini ili nilione tu kabuli lake kila siku lakini inanibidi nirejee kwenye familia yangu.
Pole sana binti. Mungu wa faraja akufariji kwa faraja yake ipitayo faraja zote. Kubali kuwa hilo limeshatokea na muombe Mungu akutie nguvu .

Vv
 
Pole sana mkuu!!

Mimi siku nasikia mzee wangu kafariki ilikua ni shwange!!
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Pole mkuu, nayajua machungu yake nilipitia kipindi kigumu pia kama wewd, pengo la mzazi halizibiki ila muhimu ni kuupokea uhalisia kwa mikono miwili na kumuombea kwa mola ampumzishe salama huko alikokwenda..
 
Back
Top Bottom