Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

Sikujua kumpoteza Baba ni kugumu hivi

Kuna umri ukifika utakiwi kuamkia wewe unakuwa wakupokea tu salamu .na mpaka mzazi wako akifikia huko hakuna namna hata wewe mtoto unaona pia ni kheri apumzike hakuna namna.

Nimewaza tu.japo kweli hakupunguzi machungu ya kufiwa na MTU huyo.all in all pole sana
Huwezi kumuombea mzazi afe eti kisa umri uwepo wake tu ni kuwaweka nyinyi karibu kwawale mnaokimbia majukumu ndio mnaona akizeeka bora afe huku mkisahau kuwa mmezaa vitoto vyenu mkarushia huko ili mlelewe
 
Pole sana,Mwenyezi Mungu akuongoze katika kipind hiki kigumu kwako..ukisoma katika biblia Ayubu 14:1-2
(1 Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke Siku zake za kuishi si nyingi, naye hujaa taabu.
2 Yeye huchanua kama vile ua, kisha hukatwa; Hukimbia kama kivuli, wala hakai kamwe.)
Pole sana nasisi tuko njiani kilichobaki ni kumwomba Mungu tumalizie safar yetu salama...
 
Huwezi kumuombea mzazi afe eti kisa umri uwepo wake tu ni kuwaweka nyinyi karibu kwawale mnaokimbia majukumu ndio mnaona akizeeka bora afe huku mkisahau kuwa mmezaa vitoto vyenu mkarushia huko ili mlelewe
Sidhani kama mzee wa miaka mia ana uwezo wa kulea mjukuu wake kwa sababu na yeye anahitaji msaada kwa asilimia kubwa kutoka kwenu...

Yahn namaanisha kuna umri ukifika upaswi kutoka kuamkia wewe unakuwa wa kuamkiwa tu...ndio huo ww miaka mia ishirini unataka uamkiwe na nani...au una miakamia ishirini bado na wewe unataka uite baba au mama .hii sheria haipo kabisa kwenye maisha.

Na mimi nikasema pia haipunguzi maumivu pamoja uhalisia upo hivyo but maumivu ya kuondokewa yatabaki pale lakini na ukweli utabaktu pale pale pia.
 
Hata kama ulizaliwa mtaani huna baba usilete mzaha ktk jambo hili fahamu kuwa mali sikila kitu wapo walioachiwa Mali lkn zimegeuka mateso makubwa sijambo la kuleta mizaha hili kuwa makini na unacho zungumza
Umesoma comment ya mtu niliyem-quote mkuu au umevamia tu? Mi sijamjibu mtoa mada hapo
 
Unawaza mali? Unadhani kila mtu anawaza mali za urithi? Ingekua anaishi na mimi vizuri unadhani ningefurahia kifo chako? Kuwa na akili..
Soma comment ya mtu niliyem-quote, sijam-quote mtoa mada ati
 
Pole sana mkuu. Mungu akutie nguvu.
Wengine tulipoteza baba tukiwa na mwaka mmoja na miezi sita tu na mama akafuatia miaka kumi baadae. Tukabaki kulelewa na bibi na kukosa kabisa malezi ya wazazi lakini tulikuwa kwa kuwa ni mipango ya Mungu.
Hakika maumivu yake hadi leo hii naendelea kuyaishi japo nimeshakuwa mtu mzima na familia yangu.
 
Najaribu kuvuta maumivu unayoyasikia but hamna namna jikazee tuu,kwa upande wangu namshukuru Mungu wazazi bado wapo hai ila nikiwafikirikia kuna ndg zangu wamepoteza wazazi wao wote wawili huwa natokwa na machozi tuu
 
R.I.P Mzee wetu,tulitoka mavumbini na mavumbini tutarudi...,tutayashinda mambo yote lakn kifo hatuwez kukishinda!
 
17013c4b9c6f0195da70b3468f9d1d1a.jpg

Heri yenu mliobahatika kuishi na baba zenu
 
Back
Top Bottom