Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

Uchawi ni moja ya vitu vinavyofanya Africa iendelee kubaki nyuma saana.

Wangemchoma moto tu akafa....na yeyote mchawi anayekamatwa auwawe.. ndani ya miaka kumi wangepotea wote na binadamu wangekuwa huru..
 
Kabisaaamkuu
 
View attachment 2059201

Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa

Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali

Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi yalikuwa yanamtoka kana kwamba yeye ndio kanasiwa na uyo mchawi ndani kwake hapo bado alikuwa hajafika eneo la tukio

Hapo njiani pia tukakutana na vijana kadhaa wakiwa na matairi ya gari kwa ajili ya kumtia kiberiti huyo mwanga alienasa,

Kufika eneo la tukio kweli namkuta mwanamama mmoja kapozi pale na vikorombwezo vyake kadhaa wa kadhaaa (nikaona kama igizo fulani hivi) inasemekana nyumba aliyonasa ina wataalamu zaidi.

Alikuwa naked huku wahuni wakijiandaa kufanya yakwao kabla watu hawajajaa.

Wengine waliokuja na visimu vyao wakaona fursa ya kuchukua video.

Kwa pembeni nikasikia bi dada mmoja aking'aka sana,namnukuu

"Choma huyo, wametunyoa sana nywele hawa ku***nina zao ,

Wametuharibia ndoa sana, wametupa ugumba mara mia na mwizi ila sio hawa wafirw***ji

Wametulimisha sana hawa
Tunapata vitambi kumbe wanatunyea vinyesi vyao Mdomoni choma kabisa huyo"

Lakini viongozi wa mtaa walikuwa tayari wameshamka na wataalamu kadhaa (waganga) ,viongozi wadini mchungaji na shehe nao walishatia mguu eneo la tukio

Mie taratibu nikajongea nyumbani nikiacha bado kuna mkwaruzano baina ya viongozi na wananchi wenye uchu na hasira kali.

Binafsi huwa siamini sana katika ushirikina , hii ni baada ya kusoma dini na sayansi vikanifunga kabisaa , kwanza naona ni kinyume cha maendeleo

Nikajiuliza kama hawa watu wanafanya uchafu wote kuua watu kuroga, kufitinisha , na kama alivyosema yule dada eti maswala ya kunyeana mdomoni surely, naweza nikashika mchawi na mwizi na mwizi nikamuacha ila huyu mchawi ni kifo tu

Una kasumba yoyote kuhusu matukio ya wachawi???

View attachment 2059202

NB: Picha zote hapo juu sio za Eneo la tukio
Afirw.. ee huyo
 
View attachment 2059201

Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa

Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali

Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi yalikuwa yanamtoka kana kwamba yeye ndio kanasiwa na uyo mchawi ndani kwake hapo bado alikuwa hajafika eneo la tukio

Hapo njiani pia tukakutana na vijana kadhaa wakiwa na matairi ya gari kwa ajili ya kumtia kiberiti huyo mwanga alienasa,

Kufika eneo la tukio kweli namkuta mwanamama mmoja kapozi pale na vikorombwezo vyake kadhaa wa kadhaaa (nikaona kama igizo fulani hivi) inasemekana nyumba aliyonasa ina wataalamu zaidi.

Alikuwa naked huku wahuni wakijiandaa kufanya yakwao kabla watu hawajajaa.

Wengine waliokuja na visimu vyao wakaona fursa ya kuchukua video.

Kwa pembeni nikasikia bi dada mmoja aking'aka sana,namnukuu

"Choma huyo, wametunyoa sana nywele hawa ku***nina zao ,

Wametuharibia ndoa sana, wametupa ugumba mara mia na mwizi ila sio hawa wafirw***ji

Wametulimisha sana hawa
Tunapata vitambi kumbe wanatunyea vinyesi vyao Mdomoni choma kabisa huyo"

Lakini viongozi wa mtaa walikuwa tayari wameshamka na wataalamu kadhaa (waganga) ,viongozi wadini mchungaji na shehe nao walishatia mguu eneo la tukio

Mie taratibu nikajongea nyumbani nikiacha bado kuna mkwaruzano baina ya viongozi na wananchi wenye uchu na hasira kali.

Binafsi huwa siamini sana katika ushirikina , hii ni baada ya kusoma dini na sayansi vikanifunga kabisaa😅😅😅😅 , kwanza naona ni kinyume cha maendeleo

Nikajiuliza kama hawa watu wanafanya uchafu wote kuua watu kuroga, kufitinisha , na kama alivyosema yule dada eti maswala ya kunyeana mdomoni surely, naweza nikashika mchawi na mwizi na mwizi nikamuacha ila huyu mchawi ni kifo tu😅😅😅

Una kasumba yoyote kuhusu matukio ya wachawi???

View attachment 2059202

NB: Picha zote hapo juu sio za Eneo la tukio
Ila kumbuka inapoishia sayansi ndio uchawi unaanzia.
 
Hii story sidhani kama ina ukweli,yaani uamke asubuhi yote hiyo,uache kazi zako na kwenda eneo la tukio,halafu ufike pale hata picha usipige,then ukiingia JF uanzishe uzi na kuweka picha isio husiana na tukio...!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom