nimuache

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Ninataka nimuache msichana kwa faida ya maisha yake

    Wakuu heshima kwenu, Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material. Sasa huyu binti hivi karibuni amepata sana bahati za watu ambao...
  2. Da Vinci XV

    Siku nikikamata mchawi na mwizi, bora nimuache mwizi

    Leo wakati nadamka asubuhi, mishale ya saa 12 nikasikia kelele uko mtaa wa pili, sijui mchawi kanasa Kijana nikajitusua kwenda kushuhudia maana sikuwahi kushuhudia mchawi kunasa naskia fununu tu mbalimbali Wakati nikielekea nilikuwa na dada mmoja, ambaye tuko naye nyumba moja yule dada matusi...
  3. Aisatu

    Naombeni ushauri, nataka nimuache na kumsahau huyu Mwanamke

    Habar wadau, Ni hivi nimekuwa na mahusiano na demu taklibani miez 3, sasa analeta mambo ambayo hata hayaeleweki mim nilimuomba mahusiano ya kimapenzi, sasa tumezoeana sana, mara nyingine tunatukanana hadi tunataka kuachana kila tukitaka kuachana yeye ndo anaanzisha mada ya kuachana lakini...
Back
Top Bottom