Kumbe Stend Nyegezi kuna gulio la ngono

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,185
103,690
Mida ya saa 2 nikakatiza nyuma ya stend mpya ya Nyegezi inayomaliziwa kujengwa. Nilipokata kona ya pili nakutana na kundi la wanawake kadhaa wakiwa wameelekeza macho na masikio yao barabarani. Nikaamini kutakuwa na tukio wanalishangaa au wanasubiri usafiri. Nilipojaribu kupunguza mwendo ili kupita kwa tahadhari, nikaona wanawake wawili wanaifuata gari. " Kaka vipi unahitaji huduma tuongee" ananisemesha dada mtu mzima aliyepauka kwa mkorogo akiwa na kipisi cha gauni mapaja yote wazi.

Moja kwa moja nikaamini nipo gulioni, hili ni gulio dogo la huduma za ngono. Gulio hili lilikuwa na wanawake mbalimbali, watu wazima na mabinti wadogo, mishangazi na pili kali. Sikuwa na uhakika kama kuna wanafunzi maana hawakuvaa IDs za vyuo.

Nikazuga hapana natafuta lodge tu hapa, mnielekeze. Wakanielekeza pembeni kidogo kuna gesti. Niliposogea pembeni nikaona kundi lingine dogo likiwa limetawanyika gizani karibu na gesti. Hawa kidogo walikuwa wamevaa kiheshima wakisubiri kuitwa. Nikajongea karibu na geti la gesti mmoja akanifuata kuniuliza kama nitamuhitaji. Nikamuambia ngoja nitafute chumba nitamchek. Akaniambia anisaidie kutafuta ili asipokonywe danga lake. Basi tukaingia pale gesti huku tukipishana na dada kwenye korido anamalizia kuvaa tight jeans. Alionekana ametoka kufanya ngono ya haraka-haraka katika moja ya vyumba. Alikuwa anavaa kwa kutumia mkono mmoja huku mkono mwingine ukishikilia simu sikioni. Nikasikia akisema subiri nakuja chap nilikuwa na kichwa hapa. Kwa hiyo wateja wamepewa heshima hiyo, wanaitwa vichwa. Nadhani ni kichwa cha juu sio hichi cha chini baada ya kutahiriwa.

Nikazuga hapa siwezi room sio nzuri nipe namba nitakupigia baadae. Nikarudi kwenye gari nikatulia kidogo kushuhudia harakati za hili gulio.

Nawaona vijana wadogo wakija kuchukua malaya wa buku 2 mpaka buku 5. Wana vyumba vyao wanaume wanaingia na kutoka. Nawaona boda boda wanapaki pale wanaingia vyumbani baada ya dakika 10-15 anatoka.

Lakini sikuona jiwe la msingi la uzinduzi wa hili gulio. Sikuona kibao cha hili gulio. Nikajiuliza ina maana Halmashauri ya Jiji hailitambui hili gulio?! Waweke mazingira mazuri kwa sababu nimeona soko lina wateja duni. Pengine wakiweka miundombinu mizuri gulio litaweza kupokea wateja wadogo na wakubwa. Eneo ni dogo lakini linatosha kuweka parking badala ya watu kusimama wimawima kama wananunua bangi. Halafu kule barabara kuu kiwepo kibao elekezi. Baada ya hapo viongozi ngazi za juu wa mkoa waje kufanya uzinduzi.

Kwa hivyo, ninatoa rai kwa Jiji ikakusanye ushuru pale gulioni pamoja na kuweka mazingira sawa kama nilivyochambua hapo juu. Nashauri ushuru wa pale ukusanywe kieletroniki kwa kutumia POS ili mapato yaingie moja kwa moja serikalini. Muhasibu wa mapato atajua atumie kifungu gani,lakini wasitumie Miscellaneous Deposit kule watakula.

Kisha natoa rai kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mkoa wa Mwanza aende kukagua mwenendo wa gulio ikiwa ni pamoja na kukagua mapato na matumizi baada ya Jiji kuanza kukusanya ushuru.

Asanteni
 
Mamlaka ikishinda hiyo vita ya biashara ya kukodisha ngono niitwe mbwa niko hapa kona ya bwiru, mkuu kama bado uko Mwanza unaendelea na utafiti wako wa machimbo ya hawa dada zetu wanaokodisha huduma ya ngono hebu nitafute nikupeleke machimbo mengine pia ukajionee
 
Hiyo ni huduma muhimu sana kwa wananchi, majiji yote makubwa kuanzia Bangkok mpaka New York yamekamilika kwa ajiri ya hii huduma
 
Back
Top Bottom