Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,987
- 27,554
kula tanoSijawahi kuwa na siku mbaya Jf, sijawahi na sitowahi kublock Watu wasiojulikana.
kula tanoSijawahi kuwa na siku mbaya Jf, sijawahi na sitowahi kublock Watu wasiojulikana.
Unakisilani wewIgnore list yangu ina watu 28.
Nikiona nimekerana na mtu kwa kiasi cha kutoleana maneno makali basi ignore inahusika. Ili nisije kukutana nae tena siku nyingine.
Tatizo bimkubwa ukitongozwa unapanic ndomana unapigwa banHakuna aliyepigwa ban zaidi yangu hapa JF, mpaka ID yangu wakaibadili wakaiita "ban 1"
Wewe ushawahi kulambwa ban ya maisha? Mimi nimeshapigwa, lakini sijawahi kuiona siku mbaya hata moja na wala siijuwi imekaaje.
Nimechekaaa🤣🤣🤣Nakuona toka upewe pesa, umenifungia vioo 🤣🤣🤣
Uwiiii nimechekaWewe ni mmoja wao, naona umetoka pangoni.
Alafu baadae usianze kulialia. Naweka tahadhali tu
Nakuzoom tu 🤣🤣🤣Nimechekaaa🤣🤣🤣
I miss u kipenzi
Weee tafuta Uzi unaitwa 'Verossa'ndo utajua km kulikuwaje...JF ya miaka ya kuanzia 2010- 2015 ilikuwa tamu saana.
Nakusahauje ss...Nakuzoom tu 🤣🤣🤣
Umenisahau campaign manager wako
ndio nini?Hahaahahaha
Leta mgawo kwanza ndo tuongee lugha moja 🤣🤣🤣Nakusahauje ss...
Kuwa mpole mama😅
Hii hela mbona unaitaka sana[emoji23]Nakuzoom tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenisahau campaign manager wako
lakini mimi nisingewaroga... Watu wamehangaika kubuni na kutengeneza JF sikutoa ata senti 1 katika kufanikisha uwepo wa JF... Acha tu watupeleke wanavyotaka wao... Wana Makosa madogo madogo wajirekebishe...Watu wa humu wangekuwa wachaw mods wote wangerogwa
[emoji23][emoji23]Leta mgawo kwanza ndo tuongee lugha moja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Makofi mengi kwako, ni wachache mno wako kama wewe.Sijawahi kuwa na siku mbaya Jf, sijawahi na sitowahi kublock Watu wasiojulikana.
Inanihusu nilichangia kupiga debe 🤣🤣🤣Hii hela mbona unaitaka sana[emoji23]
Mm mbona nilishaghairi[emoji23]Inanihusu nilichangia kupiga debe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nia yako nisipate mgawo? Naijua hiyo 🤣🤣Mm mbona nilishaghairi[emoji23]
Kweli[emoji23]Nia yako nisipate mgawo? Naijua hiyo [emoji1787][emoji1787]
Countrywide help pls unaona ss🤣🤣Leta mgawo kwanza ndo tuongee lugha moja 🤣🤣🤣
Bora useme maana nakabwa Koo hapa🤣🤣🤣Mm mbona nilishaghairi[emoji23]