Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣Unasoma alichoandika afu unatembea🤭Uchawi wa kurithi 😂😂😂😁!
🤣🤣🤣Unasoma alichoandika afu unatembea🤭Uchawi wa kurithi 😂😂😂😁!
Kabisa hio ndio dawa!🤣🤣🤣Unasoma alichoandika afu unatembea🤭
wenye pesa tuna maneno yetu au sio
Kuna mtu mwingine unamwona tu kuwa Uchawi wa kurithi unamsumbua....bas unamsikitikia tu🥴
Toka lini uliona bibikizee anachapwa kwa utovu wa nidhamu!!AlhamduliLlah sijawahi kuwa na siku mbaya, siku zote kwangu ni siku kama siku nyingine.
Imani za kichawi na kishirikina zenye kuamini kuna siku mbaya na nzuri.
Muujiza wa idadi katika Qur'an
Neno "shahr" (mwezi) limetajwa mara 12 katika Quran, kama vile idadi ya mwezi ilivyo katika mwaka.
Neno "yawm" (siku), kwa umoja, limetajwa mara 365 katika Quran, kama vile idadi ya siku katika mwaka.
Neno "ayyam" (siku), kwa wingi, limetajwa mara 30 katika Quran, kama vile idadi ya miezi ilivyo katika mwezi.
Mfano mwingine:
Neno "salawat" (sala) limetajwa mara 5 katika Quran, na idadi ya sala za kila siku lazima kwa kila Muislamu ni: A- Subh, A-Duhr, Al-Asr, Al-Maghrib, Al-Isha.
Soma zaidi: The miracle of numbers in the Quran - FUNCI - Fundación de Cultura Islámica
😂😂😂Kwa kweliSijawai kukwazika kiasi cha kuona siku imekua mbaya. Naanzaje tu kumkasirikia mtu nsomjua.
Hakuna aliyepigwa ban zaidi yangu hapa JF, mpaka ID yangu wakaibadili wakaiita "ban 1"Toka lini uliona bibikizee anachapwa kwa utovu wa nidhamu!!
Mambo ya ban tuachie sisi akina hunhe.
Nilitaka niwaite mje kutuelesa Siku mbaya zenyu jf nikasema nisije fanya Siku mbaya kwa mshana uzi ukafungwa staki mimi🤠!Wa kunipa siku mbaya humu sijamuona🤣🤣🤣
Kubishana na watu wenye sonona nikawatilia maanani tena wenye fake IDs badooooo sanaaaa
Na nilivyo jeuri wala sikuweki kwenye ignore list bali nakukaza live kwenye comments mpk upoteane 🤣🤣🤣
Watakachofanikiwa ni kunireport kwa mods vinginevyo watachambia steel wire 🤣🤣🙈Nilitaka niwaite mje kutuelesa Siku mbaya zenyu jf nikasema nisije fanya Siku mbaya kwa mshana uzi ukafungwa🤠!
Miss you kipenzi!!
Aii.....😂😂 na kuwekana ignore room mnangoja nn
🤭No way out?Hahaha...eti uchawi wa kurithi
Ohooo mod waliufunga kulikua na majengekaaa miambiliiii kidogoo!!
Duuuh! Ule uzi ulikuwa unapitia misukosuko sana. Sijui nini kilitokea aiseeOhooo mod waliufunga kulikua na majengeakaaa miambiliiii kidogoo!!
Khakhakhaaa nakuaminia mama la mama unachamba mtu wima wimaaa dadeq ... Kwa hao ndio pa kukimbilia ukipewa ban wanasherekea🤭Watakachofanikiwa ni kunireport kwa mods vinginevyo watachambia steel wire 🤣🤣🙈
🤣😂🤣 baba umelala yoooo!!Ohooo mod waliufunga kulikua na majengeakaaa miambiliiii kidogoo!!
Mkuu unachopaswa kutambua ni kwamba humu JF kuna watu wapo kwa malengo au maagizo maalumu. Ni vigumu kubishana na CHAWA ukatoka salama. Usipokuwa mvumilivu, utajikuta stress zake za Lumumba zinahamia kwako, Beware of lice!Huanza kama utani kabisa na bila kutarajia ni kama ajali isiyo na kinga hukuipanga wala kutarajia
Siku mbaya JF inaweza kukuta kwenye post! Unaweka uzi wako mzuri tu halafu anakuja mtu huko na stress zake ama hater na kuanza kukuchokonoa
Ama kwenye uzi wa mtu mwingine wewe ukiwa mchangiaji tuu.. Anajitokeza hater ama mtu mwenye stress zake na kuanza kukuchokona alimradi tu ukasirike umseme maneno mabaya akuripoti uchezee ban
Siku mbaya JF jitahidi sana usichokozeke
Siku mbaya JF jiyahidi usikwazike
Siku mbaya JF jitahidi usimjibu mtu vibaya
Sana sana unachoweza kufanya ni kumripoti
Sana sana unachoweza kufanya ni kumtupa kwenye ignore list na kumpuuza mazima, kumpotezea na kumnyamazia asije akakuharibia siku yako kwenye mengine
Wapo watu ukiwashinda kwenye hoja moja wanakurudia na ID nyingine
Wapo watu wapo hapa kwa ajili tu ya kusumbua wengine
Wote hawa ni wapuuzi wakupuuzwa na kutupwa kwenye jalala la ignore list
Kuna kukubaliana kwenye hoja ama kutokubaliana! Ikifika hatua hiyo hakuna haja ya kupotezeana muda mnakubaliana kutokubaliana
Maisha ni mafupi kuanza kukasirikiana na watu usiowajua hata sura!
Wapuuzi hawajibiwi lakini ikibidi hujibiwa sawasawa na upuuzi wao
Je ulishawahi kuwa na siku mbaya JF? Ulitoka salama?[emoji23]View attachment 2761994
Sent using Jamii Forums mobile app