Siku mbaya JF

Siku mbaya JF

Abusive language. Mimi ilikua ya Sikh 3. Ban inavary kutokana na uzito wa kosa ban ya pili kuna member nilimtupia lugha mbaya Medecin nyingine pia nilitumia lugha mbaya pia kwenye uzo wa jamaa mmoja hivi
Nilichojifunza don't take everything personal maisha ya humu jf in feki
mie nilireply nyuzi moja hivi kuhusu wanawake kwa lugha kali sana ya kijuba wakafuta,

nikaja nikatupia uzi wa revolution ndani ya chama flani hivi humu nchini, ubaya nilitaja hadi jina la muathirika wa mapinduzi,
Bwenyenye flani hivi akakometi pale chini then muda huo huo akaniripoti uzi ukangolewa mara moja ukiwa na moment yake pekeyake.

Tangu wakati huo kila nikitupia nyuzi sioni kitu,
nikarudi darasani kusoma vigezo na masharti ya JF,

nikakutana na sehemu inasema unaweza kupigwa ban ukaarifiwa sababu za ban, lakini vilevile unaweza kupigwa ban na usijulishwe chochote nikajua bas hapo ndio penyewe
 
AlhamduliLlah sijawahi kuwa na siku mbaya, siku zote kwangu ni siku kama siku nyingine.

Imani za kichawi na kishirikina zenye kuamini kuna siku mbaya na nzuri.

Muujiza wa idadi katika Qur'an

Neno "shahr" (mwezi) limetajwa mara 12 katika Quran, kama vile idadi ya mwezi ilivyo katika mwaka.

Neno "yawm" (siku), kwa umoja, limetajwa mara 365 katika Quran, kama vile idadi ya siku katika mwaka.

Neno "ayyam" (siku), kwa wingi, limetajwa mara 30 katika Quran, kama vile idadi ya miezi ilivyo katika mwezi.

Mfano mwingine:

Neno "salawat" (sala) limetajwa mara 5 katika Quran, na idadi ya sala za kila siku lazima kwa kila Muislamu ni: A- Subh, A-Duhr, Al-Asr, Al-Maghrib, Al-Isha.

Soma zaidi: The miracle of numbers in the Quran - FUNCI - Fundación de Cultura Islámica
Mbona kwaida sana!?

Waandishi wa kitabu wamecheza na akili ya msomaji.
 
Ushaharibu siku yangu
 
Back
Top Bottom