Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
- Thread starter
- #101
Sijui yalitoka nchi gani Yarabi toba!Ohooo mod waliufunga kulikua na majengeakaaa miambiliiii kidogoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui yalitoka nchi gani Yarabi toba!Ohooo mod waliufunga kulikua na majengeakaaa miambiliiii kidogoo!!
Beware of lice![emoji419][emoji375]Mkuu unachopaswa kutambua ni kwamba humu JF kuna watu wapo kwa malengo au maagizo maalumu. Ni vigumu kubishana na CHAWA ukatoka salama. Usipokuwa mvumilivu, utajikuta stress zake za Lumumba zinahamia kwako, Beware of lice!
Nakushuhudia ukweli kwa hili , tokea enzi za id ile ya awali.Huwa namjibu mtu kulingana na hoja husika tofauti na hapo nikiona anakoelekea sio kuzuri huwa sijibu chochote.
Yalitoka kuleee nanenaneee 🤭🚶🏻♀️
Mimi siku mbaya JF hainisumbui kama siku mbaya nje ya JF..
umkute m-ccm amekosa uteuzi sasa, anaona kila mtu ni adui[emoji23]zile simblisi za CCM, siku hizi nazitupia tu kwenye ignore list, wale jamaa wana stress sana. umkute m-ccm amekosa uteuzi sasa, anaona kila mtu ni adui
🤣🤣🤣madam ni kusingiziwa tu wala hakuna kingine!!Weee wa vipajii tena nimekumbuka kuna Siku nilikuuliza mbona umetususa 🤳 ukajibu una Kitu chako kule sio poa 🤭🤭😂!
Sa juzikati lile vurumai ndio nikasema alaaaaa kumbe khakhakhaaaa😂😂🤠!
Au hiko ni kingine??🤣🤣🤣🤣🤭
niliandika uzi wangu mzuri tu kuliko hauna maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote...Mods pia huchangia baadhi ya watu kua na siku mbaya jf Kwa kufuta nyuzi zao.
NB: Mods mtanisamehe Kwa hili
Kweli kabisa!! Hakiii sio kwa zile tuhuma nyieee🙌🙌🙌!🤣🤣🤣madam ni kusingiziwa tu wala hakuna kingine!!
😂😂😂😂Nimecheka looh
Nakumbana nao kila kukicha, nawaachia kinyesi mara mbili ya kile walicho kwazika nacho mara ya kwanza. Kwa hoja! Na ikishindikana, nakanyaga kanyaga tu.Wapo watu ukiwashinda kwenye hoja moja wanakurudia na ID nyingine
😀😀Watu wa humu wangekuwa wachaw mods wote wangerogwa😀😀niliandika uzi wangu mzuri tu kuliko hauna maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote...
Binafsi nipo hapa kufurahi na kuongeza maarifa kidogo. Sitaki kuharibu mood yangu kisa mtu nisiyemfaham. Huko nyuma huenda nilikuwa nakwazika, nowadays wala... ila pale tuliwezwa sana dah🤣Kweli kabisa!! Hakiii sio kwa zile tuhuma nyieee🙌🙌🙌!
Nilichogundua Humu kuna baadhi ya watu hawapendiii kuona watu wakitaniana wakacheka wakafurahiiii pamoja!! Wanaumia sio kidogo na kuona hao watu wanakulanaa bwahahahahahahahahah... Nicheke tu kwakweli kazi ipo! !
😂😂Binafsi nipo hapa kufurahi na kuongeza maarifa kidogo. Sitaki kuharibu mood yangu kisa mtu nisiyemfaham. Huko nyuma huenda nilikuwa nakwazika, nowadays wala... ila pale tuliwezwa sana dah🤣
[emoji1787] !Hamna kuomba msamaha kizembe wee mchaga!
Sasa unanicheka tena!🤪
niliandika uzi wangu mzuri tu tena niliplan kila nikitaka kushare nanyi humu kitu chochote ningepost humo humo kwenye thread yangu... Ilikuwa nzuri kwa kuiangalia tu KICHWA CHAKE CHA HABARI... haina maudhui mabaya yanayoamsha kama wa rikiboy ... Kabla Hata haujafikisha dakika mbili ukafutwa... Asee nilipata hasira nikaenda kule kwa rikiboy nikakomenti "huu uzi ufutwe kama zinavyofutwa zingine"... Nimeapa sitaanzisha thread jf mpaka mods waniombe msamaha... Nna vitu vingi sana vya kushea na nyie wakuu lakini nna hasira na moderators wote... Niligundua pia nilikosea kwenda kulalamikia kwa rikiboy...Mods pia huchangia baadhi ya watu kua na siku mbaya jf Kwa kufuta nyuzi zao.
NB: Mods mtanisamehe Kwa hili
😀Ile kesi ilitaka kukupa presha itakuwaSasa unanicheka tena!🤪