Tychob
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 4,238
- 5,647
JF ya miaka ya kuanzia 2010- 2015 ilikuwa tamu saana.New comers wapi mkuu ni walewaleee kivingine!!! Yani wanateseka sio kidogo
JF ya miaka ya kuanzia 2010- 2015 ilikuwa tamu saana.New comers wapi mkuu ni walewaleee kivingine!!! Yani wanateseka sio kidogo
Kuuliza si ujinga na kuhoji ni busara legend 😁😁Hahaha, lejend nimehoji tu sina baya na mtu.
Sure mkuu!!JF ya miaka ya kuanzia 2010- 2015 ilikuwa tamu saana.
Wao wenyewe walitenda yao kimyakimya mkuu...!!JF ya miaka ya kuanzia 2010- 2015 ilikuwa tamu saana.
Kama wengine wasemavyo humu kuhusu afya ya akili , ni wazi hili ni tatizo kubwa. Lazima tujizuie kukasilikia watu pasipo sababu za msingi.New comers wapi mkuu ni walewaleee kivingine!!! Yani wanateseka sio kidogo
Mambo ya kuwa mnyonge kwa wajinga wachache huwa kwangu hapana.Na Huo ndio mpango....yaani ni kuignore Ili nigundue Nini?nitajitahidi kubalance maneno makali Ili nisile ban ila ni Bampa tu bampa
NimeachaShemeji acha utazua taharuki [emoji38]
Huku ni nipe nikupe!Mambo ya kuwa mnyonge kwa wajinga wachache huwa kwangu hapana.
Nina sehemu nyingi za kuinteract huko kwingine kwa namna nzuri sana, humu kwenye fake id napo nijiweke umalaika tena hapana
Hahaha [emoji28] sikatai. Ila saizi Kuna ujinga mwingiWao wenyewe walitenda yao kimyakimya mkuu...!!
Yes[emoji23]Huku ni nipe nikupe!
Unajua nini, kwenye platform kama FB, JF, X nk, huwezi kukosa hizi drama. Yaani watu kuwekana ni constant. Mimi nafanya generalisation tu lakini yapo, yanatendeka...kimyakimya au kwa sauti..🤣Hahaha [emoji28] sikatai. Ila saizi Kuna ujinga mwingi
umeanza kuvamia uziMm sina muda wa kufatilia ila yananikuta njiani. Unasema nilijuaje?
Hao hakuna mwenye akili, wakishamaliza kuteta huwa wanapeleka umbea kwa mademu.
Mm nina access ya demu mmoja msg zake, hivyo nilikua sikubaliani na nachokiona
Naamini umeelewa
😆😆😆Hapa JF ukija na akili timamu lazima ukwazike. Mimi binafsi muda mwingi huwa naingia hapa nikiwa Bar au nyumbani nakunywa pombe nikiwa alone
Nakuona toka upewe pesa, umenifungia vioo 🤣🤣🤣Countrywide uko wqpi
Wewe ni mmoja wao, naona umetoka pangoni.umeanza kuvamia uzi
Kuna stress nimeanza kuziona hapa tayariIla humu kuna viumbe vimevurugwaaa [emoji134][emoji134][emoji134]
Shwaaaa✈️ 🤣🤣🤣🤣Hunipiti Mimi nimefurahi hatari maana walizidi wakafie mbele huko na unafki wao 😀😀
Sahiz kumetulia kabisa
Tayari ushavamiwaHuu uzi nao unaweza ukapigwa chini dalili zipo wazi.