Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
14,138
Reaction score
33,524
Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi.

Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu.

Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu yule mwizi aliacha ikiwa data on, Sasa wale yule kijana alipofika nyumbani ilimbidi kuangalia location simu ilipo si unajua wapenda iphone wanajiamini sana.

Location ilipoonekana ni mtaa wapili karibu na kwao. Basi kijana kaita wenzake wawili kwenda kuchoma nyumba simu ilipoonekana kwenye google map kupitia Iphone.

Kweli tukio lilifanyika na kuua familia ya wasenegal na wengine kupona, familia nyingine ya ndugu mmoja ila yule muwahanga ilibidi kuomba uchunguzi kwa nini jaribio la moto lilionekana kama limepangwa wala sio moto wa kawaida.

Uzuri wa polisi wa wenzetu sio wa kwetu kama mururo na AI wakaingia kazini kutafuta wasiojulikana. Jambo lilikuwa gumu mwanzoni sababu kulikuwa hakuna ushahidi wala mazingira ya walioumizwa kuwa kuna tatizo ila itelijensia iliwapa mashaka jinsi moto ulivyoweza kutokea yani mchomaji aliwezaje moto uwake njia za milango kama kikosi cha zimamoto kilivyotoa taarifa.

Ikabadi wajiulize ili swali ina maana hii nyumba kuna mtu anaweza kuwa aliijua na kuelewa ilivyo, Je ? alijuaaje wakati familia hii ilikuwa ngeni wala hakukuwa na tatizo wala visasi.

Uzuri wa wenzetu wanajiongeza wakaomba kampuni ya google map kutrace IP ambazo zilionesha kutrace hii nyumba kutafuta kipindi cha nyuma kabla ya tukio.

Baada ya kukubaliwa ombi ilichukua muda maana data base ni kubwa kweli zilionesha trace IP kabla ya nyumba ilitoka mtaa wa pili.

Ndani ya kazi na ile IP ilitoka kwenye kompyuta fulani ikitafuta ile nyumba. Waka ingie ile nyumba na kumkamata na kumhoji na kuchunguza na ndipo walibaini mpaka mawasiliano siku ya kuchoma moto nyumba yeye na rafiki zake.

Kwa serikali ya CCM, ICC siyo Msigwa kutoa ufafanuzi mna kazi.
 
Back
Top Bottom