Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Hapo ndipo anatuangusha wanawake wenzake
Balozi wangu wa mtaa (KE) akiitisha mkutano naweza kwenda ila sio BIBI TOZO/BIBI MIKOPO....,HANA MSIMAMO/MAAMUZI ...anayumbishwa yumbishwa na akina Mwigulu...., Mwenda zake aliharibu lkn kulikuwa na vitu anavisimamia....,but this bibi tozo....,is empty
 
Rais anapendwaa Sanaa hapa Tanzania, anapendwaa Sana na watanzania kwa kuwa anaendelea kutatua matatizo na kero za wananchi

Kuhusu Bei za mafuta lazima ujuwe kuwa hayajapandishwa na mh Rais Bali Ni kutokanaa na Bei za mafuta kupanda huko yatokako

Hata hivyo mh Rais ameendelea kukabiliana na Hali hiyo kwa kutoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi ili kupunguza makali ya Bei

Hali ikitengemaa yatarudi katika Hali yake ya kawaida
Wewe unajua aliekuita mjinga kakupe delea! Hebu tuambie Bei ya mafuta ya Zanzibar na ya bongo iko je alafu ndio urudi kuandika huu upupu hapa
 
Balozi wangu wa mtaa (KE) akiitisha mkutano naweza kwenda ila sio BIBI TOZO/BIBI MIKOPO....,HANA MSIMAMO/MAAMUZI ...anayumbishwa yumbishwa na akina Mwigulu...., Mwenda zake aliharibu lkn kulikuwa na vitu anavisimamia....,but this bibi tozo....,is empty
Bila Shaka unamatatizi yako binafsi, nchi gani isiyo na tozo, unafikiri nchi zilizoendelea zilipata maendeleo kutoka angani, au unazani maendeleo yalishuka tu Kama maembe

Lipa kodi na tozo kwa maendeleo ya Taifa letu, kuwa mzalendo, kwani huoni na kufurahi ukiona vituo vya Afya vinavyojengwa
 
Nimekuuliza kama Uko serious na unchokisema maana mtu mwenye akili timamu hawezi kusema haya ili hali anaujua uhalisia; tofauti na hapo chawa katika ubora wako
Uhalisia upi uusemao wewe, au uhalisia wa machoni pako pekee, maana mtazamo wako mwenyewe unaweza ndio ukawa unauita uhalisia na ukataka sote tuuite uhalisia
 
Yupo.

ID yake naifahamu ila siwaambiiiii.
 
Uko sahihi kwa huu utetezi wako kubwa aheshimiwe, lakini heshima ya kweli inatokana na kuingia madarakani kwa njia halali. Kwa ule uchaguzi wa 2020 unatarajia kiongozi kupata heshima?
Unalialia sana
 
Watanzania wanapenda matukio kwasababu uwezo wa kufikili ni mdogo kwa waliowengi...
Hivyo mnatakiwa mjue utawala huu sio wa matukio ya sifa.
 
Ombwe gani wewe wakati unaona namna nchi inavyosonga mbele kimaendeleo, kila mahali Ni miradi ya maendeleo inazinduliwa na kufunguliwa, kila mahali serikali inapeleka fedha mabillioni kwa mabillioni

Vituo vya Afya shule maji umeme unakuta unasambazwa kila Kona huko vijijini

Uongozi wa mh Mama Samia Suluhu Hassan wananchi wametulia na Kuendelea na shughuli huku wakipelekewa mamiradi ya maendeleo waliko,

Acha mama aitwe Mama tu, maana anayagusa maisha ya kila mtanzania kule kule aliko hata iwe Ni kijijini utakuta mikono ya Mama yetu mpendwa,

Utasema Nini juu ya mama Samia ueleweke kwa wakulima wakati wanajuwa namna mama yetu anavyo wajali katika kilimo kwa kutoa fedha Kama Ruzuku kwenye mbolea

Utasema Nini juu ya mh mama Samia ukaeleweka kwa akina mama wanaoona kazi kubwa anayoifanya ya kuwasogezea huduma za maji maeneo yao na hata uboreshwaji wa zahanati na huduma za Afya

Acha mama aendelee kutuhudumia watanzania,Tumelizika na utendaji kazi wake sisi
Hongera,naona Sasa hivi umejifunza kuandika vizuri,aya zinaonekana,koma na vituo vinawekwa.

Mwanzoni (kuanzia wiki iliyopita) tangu ulivyopata ajira hii ya uchawa,ulikuwa unaandika mavitu ya hovyo hovyo yasiyovutia kusoma...

Hongera sanaa
 
Acha kujipofusha mwenyewe, kwani huoni namna Rais anavyotatua kero huko kwote apitako, huoni namna anavyotoa majibu juu ya kero za wananchi, huoni namna anavyofuatilia utumikaji wa pesa za umma huko mikoani, au unataka aje ashinde hapa Naye àanze kulalamika hapa badala ya kwenda kutoa suluhisho huko kwa wananchi

Hata wewe Kama una hizo kero nenda ukazisema uone Kama hazitapatiwa majibu
Huu uchawa leo umekuingizia kiasi gani ili uendelee kwenda chooni?

Basi ninakwambia hivi: kama wewe unahusika kwa njia yoyote ile kuja hapa na kuokoteza michango ya kusifu na kumpelekea aione na kuanza kujigamba, chukua hayo yaliyoandikwa hapo na mkuu 'Chakaza'.
Usibadili chochote kujaribu kujipendekesha kwake ili akupeleke chooni zaidi.

Sijawahi kusoma maandishiyako humu JF, lakini naona siku hizi hulali kwa kuwaza ni takataka gani uzilete hapa JF ili kibarua chako kionekane kinatimizwa. Watu kama wewesina muda wa kupoteza nao.

Kafilie mbali!
 
Angemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
Umesahau na malori ya kubeba watu mikoa yoote🤣🤣
 
Back
Top Bottom