- Thread starter
- #41
Maxence Melo eti ni kweli ?Ukisikia serikali inalalamika kwamba Siri zake zinavuja, jua ni JF. Ndio maana mwenda zake alimkalia kooni Maxence Melo Sana.
Maxence Melo eti ni kweli ?Ukisikia serikali inalalamika kwamba Siri zake zinavuja, jua ni JF. Ndio maana mwenda zake alimkalia kooni Maxence Melo Sana.
umeongea vizuri sana tena sanaKusema mtu ana uwezo mdogo ni kukosa heshima? What a crap! Wewe unaona rais kulumbana na watu kuhusu idadi ya watu wanaohudhuria mkutano ndiyo heshima? Ni lazima ujue rais anatakiwa kushughulikia mambo makubwa na ya msingi na siyo kupigana vijembe na raia wake. Tanzania ina watu wazima zaidi ya milioni 40, unataka kila mtu awaze namna moja? Ukiwa rais ni lazima ujue kuweka hisia binafsi pembeni.
Na hili nalo mkalitizame kwa ukaribuYes, ni tofauti, maana muda wake uko limited! magufuli alitufundisha kuwa erais siyo mwenzetu... atrocities he committed wewe unaweza kuzifanya?
Akili zipo humo kichwani?Kwa haya aliyondika ni lazima atakuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa. Lakini wenye uwezo mdogo hawawezi kumuelewa.
kuna ID kongwe humu ya bi mkubwa fulani mwenye misimamo yake, kama yeye vile.. maana siku hizi ipo bize nje ya jf.. sema yule sio yy 🙂🙂🙂Mama ana ka ID feki humu tena ni kati ya zile zinazomtetea sana.
Inawezekana sana humuID feki sidhani, ukiniambia IPO account ya kitengo Cha propaganda ntakuelewa.
Uko sahihi kwa huu utetezi wako kubwa aheshimiwe, lakini heshima ya kweli inatokana na kuingia madarakani kwa njia halali. Kwa ule uchaguzi wa 2020 unatarajia kiongozi kupata heshima?Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Mimi sio chawa
Kwa hiyo ulitaka muendelee kuongea uwongo na kudanganya watu humu, baada ya kuumbuliwa uongo wenu mnaanza kuhamisha magoliHii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Rais Samia anachanganya sana mambo, asante kwa kujibu hoja. Wananchi hawakupendi kwa sababu hutatui changamoto yaani mawaziri wa Rais wanajichanganya mpaka mtu anasema mwaka 1904. Fanyeni hivi, tumeni timu yenu waende watafute matatizo, Rais Samia tatua hata tatizo moja, mengine waachie mawaziri. Ukitatua hata changamoto tano au tatu kila unaposimama yaani utapendwa. Pia kingine Rais Samia ni ngumu sana watu kukuelewa kwa sababu mafuta bei sasa ni 3400 plus, maisha ni magumu, fanya jambo bei ishuke ifike 2400 utapendwaKuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Huyu nilimwambia Toka zamani.Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Ombwe gani wewe wakati unaona namna nchi inavyosonga mbele kimaendeleo, kila mahali Ni miradi ya maendeleo inazinduliwa na kufunguliwa, kila mahali serikali inapeleka fedha mabillioni kwa mabillioniNchi hii tuna ombwe kubwa la uongozi.
Wanapenda umbea kama mijusi na huwa inawatoa kwenye reli
Wewe hufuatilii ziara za Mhe. Rais kupata taarifa chanya za maendeleo. Mbona hilo la mabango kalizungumza siku tatu zilizopita na kutaka viongozi watumikie wananchi, wafuate sheria ikiwemo kuzingatia haki za binadamu. Na kama wakifanya hivyo wananchi hawatabeba mabango.Hizo changamoto zenyewe anazisikiliza sasa au anafanya yake tu yalompeleka. Maana hata mabango ya malalamiko hayataki.
Lakini pia, uwingi wa watu si suluhisho la umaskini kwa walio wengi + kupanda kwa gharama za maisha
Acha matusi kwa Rais wetu wewe, Tena uwe na adabu kwa Rais na mamlaka, Uhuru una mipaka take, uwe na staha katika maandishi yako, fikiri kabla ya kuandika, hata Kama huna wakubwa na hujalelewa katika malezi Bora Basi heshimu wengineHuyu nilimwambia Toka zamani.
Kwanza ni Mwanamke, pili mwanamke wa Pwani .
Hawa wanakuaga kusutana na mapenzi
Rais zuzu wa mazuzu wa Jamhuri ya mazuzu wa muungano [emoji117] FaizaFoxyHii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Please please...umekosea sana. Hii si heshima.🙏🙏🙏Huyu nilimwambia Toka zamani.
Kwanza ni Mwanamke, pili mwanamke wa Pwani .
Hawa wanakuaga kusutana na mapenzi
Acha kujipofusha mwenyewe, kwani huoni namna Rais anavyotatua kero huko kwote apitako, huoni namna anavyotoa majibu juu ya kero za wananchi, huoni namna anavyofuatilia utumikaji wa pesa za umma huko mikoani, au unataka aje ashinde hapa Naye àanze kulalamika hapa badala ya kwenda kutoa suluhisho huko kwa wananchiDah!,
Mkuu, 'Chakaza', ningeshukuru sana, hata kama siyo yeye angebahatika kusoma haya uliyoandika hapa, wasidizi wake wayachukue vile vile ulivyoyaweka na kumpelekea akayaone mwenyewe.
Hii ingependeza sana.
Ni wazi kwamba yanayomsumbua zaidi yeye ni yanayosemwa juu yake badala ya kuwekea maanani yanayowahusu waTanzania. Hili ndilo tatizo kubwa la hawa viongozi wetu wa siku hizi.