Rais Samia anachanganya sana mambo, asante kwa kujibu hoja. Wananchi hawakupendi kwa sababu hutatui changamoto yaani mawaziri wa Rais wanajichanganya mpaka mtu anasema mwaka 1904. Fanyeni hivi, tumeni timu yenu waende watafute matatizo, Rais Samia tatua hata tatizo moja, mengine waachie mawaziri. Ukitatua hata changamoto tano au tatu kila unaposimama yaani utapendwa. Pia kingine Rais Samia ni ngumu sana watu kukuelewa kwa sababu mafuta bei sasa ni 3400 plus, maisha ni magumu, fanya jambo bei ishuke ifike 2400 utapendwa