Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,957
Natamani rais ajae awe dikteta, yani dikteta wakweli, wanaomdhihaki mama huyu sijui wataonyesha wapi sura zao.
Sio kila mtu,labda wewe na familia yako.Angemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
Dikteta aongoze familia yake,sio nchi.Natamani rais ajae awe dikteta, yani dikteta wakweli, wanaomdhihaki mama huyu sijui wataonyesha wapi sura zao.
Huu uchawa leo umekuingizia kiasi gani ili uendelee kwenda chooni?
Basi ninakwambia hivi: kama wewe unahusika kwa njia yoyote ile kuja hapa na kuokoteza michango ya kusifu na kumpelekea aione na kuanza kujigamba, chukua hayo yaliyoandikwa hapo na mkuu 'Chakaza'.
Usibadili chochote kujaribu kujipendekesha kwake ili akupeleke chooni zaidi.
Sijawahi kusoma maandishiyako humu JF, lakini naona siku hizi hulali kwa kuwaza ni takataka gani uzilete hapa JF ili kibarua chako kionekane kinatimizwa. Watu kama wewesina muda wa kupoteza nao.
Kafilie mbali
Kipi Cha ukweli alichoandika hapo, kwani wewe huoni namna mh Rais anavyofanya kazi huko kwa wananchi, unataka aje hapo ulipokaa ndio ujuwe anafanya kazi, Rais anakwenda moja kwa moja huko waliko wananchi ambako ndiko alipita kuomba kuraHuu uchawa leo umekuingizia kiasi gani ili uendelee kwenda chooni?
Basi ninakwambia hivi: kama wewe unahusika kwa njia yoyote ile kuja hapa na kuokoteza michango ya kusifu na kumpelekea aione na kuanza kujigamba, chukua hayo yaliyoandikwa hapo na mkuu 'Chakaza'.
Usibadili chochote kujaribu kujipendekesha kwake ili akupeleke chooni zaidi.
Sijawahi kusoma maandishiyako humu JF, lakini naona siku hizi hulali kwa kuwaza ni takataka gani uzilete hapa JF ili kibarua chako kionekane kinatimizwa. Watu kama wewesina muda wa kupoteza nao.
Kafilie mbali!
Mh Rais bado yupo sanaaa tu madarakani maana watanzania tunaridhishwa na utendaji kazi wake, ndio maana unaona namna nchi ilivyo tuliaYah walau tutakuwa na hamu na taarifa ya habari tena. siyo huyu bibi
Wamemiss kupotezwa na wasiojulikana.Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Ni Kweli inawezekana Maana hata mecco tumejibizana nae mara kadhaa bila kujua.Inawezekana sana humu
Kupokea taarifa ni jambo moja; uwezo wa kuzichakata na kuzifanyia kazi taarifa hizo ni jambo jingine tofauti.Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Hapana siyo wote. Mimi ni CCM damu, sina chembe ya upinzani, ni muhimu kumsaidia Rais Samia ili atambue vitu vya kufanya kwa ajili ya watanzania. Sisi ni wananchi wa kawaida wenye maslahi mapana na nchi. Rais Samia tunampenda mno tena sana sisi wana CCM ila linapokuja suala la maslahi kwa taifa na maisha ya watanzania ni lazima tusimame na watanzania kumuuma masikio Rais wetu ili ajue jinsi hali halisi huku mitaaniKwa bavicha waliojazana humu. Hata angekuwa Nani angejiunga humu
Anatumia id gani nimfate pm?Mama ana ka ID feki humu tena ni kati ya zile zinazomtetea sana.
Ni Rais gani kwa dunia ya sasa hajawahi kujibu hoja za mtandaoni?Kupokea taarifa ni jambo moja; uwezo wa kuzichakata na kuzifanyia kazi taarifa hizo ni jambo jingine tofauti.
Hoja mitandaoni kumhusu rais ni nyingi sana, hawezi kupata muda wa kuzitolea majibu zote.Ni Rais gani kwa dunia ya sasa hajawahi kujibu hoja za mtandaoni?
Dikteta aongoze familia yake,sio nchi.
Raisi hachaguliwi ili awe mpole au dikteta, raisi anachaguliwa kuleta maendeleo.Sindio baadhi yenu mnachokitaka!! Huyu mama na upole wake lakini anaonekana bado hafai, na among them hawampendi kutokana na imani yake na vile vile ni mzanzibari, na ana ndugu zake oman.
Ndiomaana nikasema hii nchi dawa kupata dikteta mtu anaeleta ujinga apotezwe, labda wanatamani iwe hivyo,,,,hapo ndipo watammis huyu mama mwenye huruma na utu.
Siamini macho yangu! Ni wewe huyo au account imedukuliwaHii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Hayo mafuriko ya mchongo tunajua yanavyopatikana.Kwa hiyo ulitaka muendelee kuongea uwongo na kudanganya watu humu, baada ya kuumbuliwa uongo wenu mnaanza kuhamisha magoli
, Rais Samia suluhu Hassani anakubalika Sana na wananchi ndio maana unaona mafuliko ya watu kila anakopita katika ziara zake,
Mbeya Alipokelewa kwa kishindooo Hadi nafasi ilikuwa haitoshi pakusimama tu
Ninyi ndo mmeikuza hii habari hata kuleta hii thread; Mngeipuuza hiyo habari kama mlivyotaka yeye apuuzie, kisha mkaleta hayo unayoita ya msingi ambayo anaendelea kuyatolea ufafanuzi akiwa na mawaziri wake huko kwenye ziara ili tuyajadili.Hoja mitandaoni kumhusu rais ni nyingi sana, hawezi kupata muda wa kuzitolea majibu zote.
Ni mtazamo wangu kuwa hii aliyoitolea majibu haikuwa na umuhimu wowote. Labda kama ni umbea kama alivyosema mwenyewe.
Wananchi wanataka majibu ya hoja nyeti zinazojadiliwa humu zinazogusa maisha yao directly.