Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Ndugu yangu Tindo Hakuna Anaye shurutishwa kuhudhulia mikutano ya mh Rais, watu wanahudhulia kwa upendo mkubwa walio nao kwa mh Rais wetu

Watu wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais ndio maaana unaona namna anayoendelea kuungwa mkono na watanzania
Mapenzi gani..... Bora useme ni ushamba unawaoeleka ili waone MaV eighty ya Polepole .....!!
 
Huoni namna wanavyomlaki Rais wetu huko mitaani, Sasa wewe endelea na chuki zako hapo hapo ulipokaa huku mh Rais akiendelea kuchapa kazi na Watanzania tukiendelea kumuunga mkono mh Rais wetu
Wewe umejitoa akili. Usinilazimishe kupoteza muda wangu na upunguani wako.
 
Kwa hiyo wewe mtoa mada mtu akisema "mitandao" anamaanisha jamii forum? Kwa hiyo jambo likijadiliwa jf ni bar kutokujadiliwa forum nyingine?
 
Back
Top Bottom