Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Sasa wewe endelea kulalamika hapa na kupinga pinga kila kitu wakati watanzania wanaendelea kuridhishwa na utendaji kazi wa Mh Rais wetu
Hawa waTanzania unao mfukoni mwako?
Unapata kiasi gani kwa kuwauza kwa hao wanaokufanya upoteze muda wako mwingi humu kuweka takataka zako?

Sasa kwa vile uko kazini kutetea ili usikose kwenda chooni, usinipotezee muda kwa kutaka nishiriki kwenye porojo zako zisizo na faida kwa waTanzania.
 
Zuzu mwenyewe na Wala usitutukanie Mh Rais wetu anayekubalika ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, Huyu Ni Rais ambaye uchaguzi ukifanyika Leo Hana haja ya kupiga kampenii maana kazi zake zimegusa maisha ya watu ambao huku mitaani kila mtu Yupo tayari kumpigia kura mama
Sikia hii chup^ ya ccm [emoji115][emoji115]total shit [emoji117][emoji90][emoji90][emoji90]
 
Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
We
Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.

Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.

Anaanza kuwa kama Manara
Ana Mambo ya mtaani kabisa....uwiii kigodoro Cha Uruguay. Ee Mungu tusikie kuomba kwetu
 
Ni Kweli inawezekana Maana hata mecco tumejibizana nae mara kadhaa bila kujua.

Huyu Si mbishi kama uncle kuwabishia walinzi ndomana napunguza probability!!!!
Aisee
Meko alikuwa na ID kibao humu tunabishana nazo...
Sio mchezo
Kama kina @biayetu hizi ID zimepotea ghafla....
 
Madaraka ya ngazi ya Irais hapa Bongo ni ulevi mbaya zaidi alikuwepo madarakani ankuwa na upofu na watu wake wa karibu ni wa lamba unyayo
 
Kiongozi kuongea na watu akiwa juu ya gari ni dharau na kutokujali!
Kiongozi kuongea na watu akiwa katikati ya barabara na kuzuia shughuli za zao ni ukatili!
Kiongozi kujaza magari na ulinzi wa kifahari ni matumizi mabaya ya madaraka!
Basi tu Watanzania wengi reasoning ipo chini!
 
Angemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
Nitoe kwenye kwenye hiyo "kila mtu" tafadhali
 
Ulikuwa hujui siyo raisi tu hata kamati yao ya ikulu wana account hapa tangu enzi za mpendwa wetu JPM .JF ni kama watu waliomo katika chumba chenye Giza totoro unasikia sauti tu
 
Akaunti za twitter za SSH na ya JPM ukichunguza kwa makini admin wake ni Januari Nishati. Yule ndiye anayejibu na kupost post vitu kwa account hizo, sasa hata huku bwana Nishati yupo ndio anachukua vitu vidogo vidogo hivyo na kumpa mama, vitu konki anapita kama hajaviona. Tunakuja kujibiwa kwa kunangwa kama hivi

Tungependa kunangwa kwa mambo kama, "nasikia watu wanasema bwawa la umeme la JK Nyerere litaisha 2040 huko, hebu makamera men pigeni picha sasa waonesheni lilivyoisha na uzalishaji wa umeme umeanza"
 
Hawa waTanzania unao mfukoni mwako?
Unapata kiasi gani kwa kuwauza kwa hao wanaokufanya upoteze muda wako mwingi humu kuweka takataka zako?

Sasa kwa vile uko kazini kutetea ili usikose kwenda chooni, usinipotezee muda kwa kutaka nishiriki kwenye porojo zako zisizo na faida kwa waTanzania.
Huoni namna wanavyomlaki Rais wetu huko mitaani, Sasa wewe endelea na chuki zako hapo hapo ulipokaa huku mh Rais akiendelea kuchapa kazi na Watanzania tukiendelea kumuunga mkono mh Rais wetu
 
Hayo mafuriko ya mchongo tunajua yanavyopatikana.
Hapana siyo ya mchongo na ukitaka hata wewe unaweza kwenda kupiga picha uone Kama hutashindwa hata pa kukanyaga kutokanaa na uwingi wa watu wanaomlaki Rais wetu
 
Inflation…inflation… high cost of living…gharama za maisha! Huu wimbo viongozi hawataki kuusikia ila uchumi wa mtu mmoja mmoja ie microeco uko hoii!🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹🥹
 
Back
Top Bottom