Sikiliza video hii, uthibitisho kuwa Rais anapitia JF

Kiongozi kuongea na watu akiwa juu ya gari ni dharau na kutokujali!
Kiongozi kuongea na watu akiwa katikati ya barabara na kuzuia shughuli za zao ni ukatili!
Kiongozi kujaza magari na ulinzi wa kifahari ni matumizi mabaya ya madaraka!
Basi tu Watanzania wengi reasoning ipo chini!
Akiwa juu kwanza anakuwa na inakuwa Rais kila mtu kumwona, lakini pia hapo anakuwa amesimamishwa na wananchi na anasimamia ili awasalimi, lakini pia Hilo kinakuwa siyo eneo Rasmi lililopangwa kwa ajili ya kwenda kusimama kushuka na kuhutubia au unafikiri mh Rais anashuka kila eneo Kama konda wa daladala,
 
Hapana siyo ya mchongo na ukitaka hata wewe unaweza kwenda kupiga picha uone Kama hutashindwa hata pa kukanyaga kutokanaa na uwingi wa watu wanaomlaki Rais wetu

Wingi wa watu sio issue maana wanakusanywa kwa shuruti na Hadaa. Kama kila kiongozi anapewa jukumu la kuhakikisha analeta watu toka sehemu mbalimbali unategemea nini?

Kuna watu wako vijijini huko hawana deal zozote, wakisikia kuna usafiri wa bure kwenda kwenye ziara ya rais, wanaona ni muda wa kwenda kutembea.
 
Madaraka ya ngazi ya Irais hapa Bongo ni ulevi mbaya zaidi alikuwepo madarakani ankuwa na upofu na watu wake wa karibu ni wa lamba unyayo
Machawa... matapeli tapeli... wadanganyifu...
Akiwa juu kwanza anakuwa na inakuwa Rais kila mtu kumwona, lakini pia hapo anakuwa amesimamishwa na wananchi na anasimamia ili awasalimi, lakini pia Hilo kinakuwa siyo eneo Rasmi lililopangwa kwa ajili ya kwenda kusimama kushuka na kuhutubia au unafikiri mh Rais anashuka kila eneo Kama konda wa daladala,
Rais kusimama eneo fulani na kuhutubia wananchi ni kwamba hilo eneo ni rasmi na anayowaambia pia ni rasmi.
Pili haiwezekani kuwa raia waingie barabarani na kusimamisha msafara wa Rais.
Tatu, kusimama barabarani kusalimia kwa zaidi ya dakika 5 ni kukwamisha shughuli nyingine! Kama hataki kushuka kukutana nao apungie asepe zake!
Nne, kinachoonekana na unachokisapoti ni komedi original, drama na dharau kwa wananchi.
Jaribu hata wewe siku moja ukitaka kuwasalimia na watu unao wathamini ufungue sunroof upande juu ya siti uanze kuwapungia mikono na kutumia mic kuongea nao.
Yes, namaanisha hiyo scene yaani.
 
Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Ndo amewajibu kwa hiyo mikutano ya barabarani?? Rais kuzoea kuongea na watu barabarani tena juu ya gari ni kuwaonesha dharau kupitiliza!
Katikati ya barabara si sehemu sahihi ya kiongozi wa watu kukutana na watu wake!
Hii tabia ilikithiri awamu ya JPM, naona inazidi kukomaa ndani ya ccm.
Taratiibuuu heshima na hofu ya kiongozi kwa wananchi inamomonyoka.
Zaidi ya yote, inaeleweka vizuri kuwa mikutano yote ya viongozi na wananchi inaandaliwa kwa muda mrefu na pesa ndefu.
Ni ujinga na dharau iliopitiliza kuwaandaa wananchi wajipange barabarani kuwasikiliza viongozi wao unless kama wanapiga porojo.

👎👎👎👎👎
 
Machawa... matapeli tapeli... wadanganyifu...

Rais kusimama eneo fulani na kuhutubia wananchi ni kwamba hilo eneo ni rasmi na anayowaambia pia ni rasmi.
Pili haiwezekani kuwa raia waingie barabarani na kusimamisha msafara wa Rais.
Tatu, kusimama barabarani kusalimia kwa zaidi ya dakika 5 ni kukwamisha shughuli nyingine! Kama hataki kushuka kukutana nao apungie asepe zake!
Nne, kinachoonekana na unachokisapoti ni komedi original, drama na dharau kwa wananchi.
Jaribu hata wewe siku moja ukitaka kuwasalimia na watu unao wathamini ufungue sunroof upande juu ya siti uanze kuwapungia mikono na kutumia mic kuongea nao.
Yes, namaanisha hiyo scene yaani.
Usimfananishe mh Rais na mtu binafsi wewe kwa kuanza kusema Mimi nisimame, Rais Ni Taasisi ambayo haiwezi kusimama kila mahali Ila inaweza kuwepo kila mahali kupitia wateule wa mh Rais, Rais hawezi kuwapita bila kuwasalimu wananchi waliojipanga njiani kwa bashasha na furaha ya kutaka kumwona na kuhitaji kumsikia hata akitoa neno kwao

Unataka Barabara zote yatandikwe majukwaa ya Rais kuhutubia akifika, ndio maana Kuna kuwa Kuna eneo maalumu ambako kutafanyika mkutano wake na wananchi ambako huko yataongelewa na kuwasilishwa mengi, lakini awapitao njiani lazima awaheshimu kwa kusimama na kuwasalimu na kuwasikiliza pia na kutoa majibu ya papo kwa papo
 
Wingi wa watu sio issue maana wanakusanywa kwa shuruti na Hadaa. Kama kila kiongozi anapewa jukumu la kuhakikisha analeta watu toka sehemu mbalimbali unategemea nini?

Kuna watu wako vijijini huko hawana deal zozote, wakisikia kuna usafiri wa bure kwenda kwenye ziara ya rais, wanaona ni muda wa kwenda kutembea.
Hakuna kitu Kama hicho, wananchi wanakwenda wenyewe kwa hiari yao na upendo wao mkubwa kwa mh Rais wetu, Ndio maana unaona namna wanavyokuwa na furaha pale tu Rais akijitokeza mbele yao,

Rais wetu anapendwaa na kila mtu anatamani kumuona na kumsikiliza maana watanzania tuna Imani kubwa Sana kwa mh Rais wetu, na Tunaona namna anavyo fanya kazi bila kuchoka
 
Usimfananishe mh Rais na mtu binafsi wewe kwa kuanza kusema Mimi nisimame, Rais Ni Taasisi ambayo haiwezi kusimama kila mahali Ila inaweza kuwepo kila mahali kupitia wateule wa mh Rais, Rais hawezi kuwapita bila kuwasalimu wananchi waliojipanga njiani kwa bashasha na furaha ya kutaka kumwona na kuhitaji kumsikia hata akitoa neno kwao

Unataka Barabara zote yatandikwe majukwaa ya Rais kuhutubia akifika, ndio maana Kuna kuwa Kuna eneo maalumu ambako kutafanyika mkutano wake na wananchi ambako huko yataongelewa na kuwasilishwa mengi, lakini awapitao njiani lazima awaheshimu kwa kusimama na kuwasalimu na kuwasikiliza pia na kutoa majibu ya papo kwa papo
Sijuhi hata ka una uwezo kiduchu wa kuelewa.
Anyway... wanasiasa ni wakora wakora. Mikutano ya barabarani inawapa mwanya wa kuwahadaa wananchi bila kumbukumbu na fursa ya kuwawajibisha mambo yakienda tofauti.
In short ni fursa ya kiongozi kuwadharau wananchi!!
 
Hakuna kitu Kama hicho, wananchi wanakwenda wenyewe kwa hiari yao na upendo wao mkubwa kwa mh Rais wetu, Ndio maana unaona namna wanavyokuwa na furaha pale tu Rais akijitokeza mbele yao,

Rais wetu anapendwaa na kila mtu anatamani kumuona na kumsikiliza maana watanzania tuna Imani kubwa Sana kwa mh Rais wetu, na Tunaona namna anavyo fanya kazi bila kuchoka
Asee usipopewa cheo kalalamike make unasapoti mambo bila aibu, tafakari na busara!
 
Hakuna kitu Kama hicho, wananchi wanakwenda wenyewe kwa hiari yao na upendo wao mkubwa kwa mh Rais wetu, Ndio maana unaona namna wanavyokuwa na furaha pale tu Rais akijitokeza mbele yao,

Rais wetu anapendwaa na kila mtu anatamani kumuona na kumsikiliza maana watanzania tuna Imani kubwa Sana kwa mh Rais wetu, na Tunaona namna anavyo fanya kazi bila kuchoka

Unadhani kinachoendelea ni siri kubwa kiasi kwamba ukweli hatuujui? Hayo majizi ya kura lazima yatumie shuruti na pesa ili kujaza mafuriko, kwa lengo la kuhadaa umma kuwa wanakubalika.
 
Ndugu yangu Tindo Hakuna Anaye shurutishwa kuhudhulia mikutano ya mh Rais, watu wanahudhulia kwa upendo mkubwa walio nao kwa mh Rais wetu

Watu wanaridhishwa na utendaji kazi wa mh Rais ndio maaana unaona namna anayoendelea kuungwa mkono na watanzania
 
Sio kwamba nahadithiwa, nimeona kwa macho yangu watendaji wa serikali wakitumia vitisho na Hadaa ili kupata wetu wa kuhudhuria ziara za rais. Mchezo huu ulishamiri sana wakati wa Magufuli, na sasa naona imekuwa cancer ndani ya serikali na CCM.

Kwa bahati mbaya dunia imegeuka digital, ila CCM na serikali zimebakia analogy, matokeo yake wanatumia mbinu soo uotdated kukusanya watu ili kuhadaa umma kuwa wanakubalika.
 
Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.

Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.

Anaanza kuwa kama Manara
Imagine Rais anafurahia kupokelewa na umati. Hao watu walitakiwa wawe wanazalisha badala ya kwenda kumsikiliza. Uchumi hauwezi kuimprove kwa Rais kukutana na kuhutubia watu Kila anakopita. Bila kuongeza production hatutakwenda popote.

Tanzania ni nchi pekee ninayoifahamu ambako wananchi wanajipanga barabarani kungoja kumsikiliza na kumuona Rais.
 
Back
Top Bottom