- Thread starter
- #21
sikuwahi kuwa na hamu ya kumsikilizaAngemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
sikuwahi kuwa na hamu ya kumsikilizaAngemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
najaribu kuutafuta sijaupataNa kweli mkuu kwenye ule uzi jamaa alisema kuhusu kuzungukwa na wamakoti meusi.
Uhakika mama yumo humu.Na kweli mkuu kwenye ule uzi jamaa alisema kuhusu kuzungukwa na wamakoti meusi.
Nchi hii tuna ombwe kubwa la uongozi.Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Safi mama Samia.Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Mimi sio chawaNaona chawa umetia timu mapeema bila kuchelewa[emoji1787]
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo anatuangusha wanawake wenzakeHii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Kila mtu??!!!! Siyo mimi. Sikuwahi kumsikilizaAngemuiga jiwe tu ile style yake ya kutafuna mahindi njiani.mwenzie hata kama alikua na madhaifu yake lakini alikua akiongea kila mtu anakua na hamu ya kumsikiliza
Mungu ibariki JFKuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Dah, kama Haji mtoto wa Sunday Manara, niwaambieni umbeya mdogo!!, nimeshtuka nikabaki mdomo wazi.Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Sasa kama rais anapitia thread za JF, sisi inatuhusu nini ?Kuna thread humu ilisema Mh Rais misafara yake haina watu huko kusini, leo amewajibu
View attachment 2322017
Mkuu inaonesha ni kwa jinsi gani alivyo detachedHii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
Dah!,Hii inaonyesha uwezo mdogo alionao katika kupokea yanayomhusu.
Mengi yanajadiliwa ambayo ni challenge katika uendeshaji wa shughuli zake za kiserekali yenye faida kwa taifa, lakini yeye anaona muhimu ni hayo ya vijembe na kusutana kulikojaa umbea kama alivyosema.
Anaanza kuwa kama Manara
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mama wa Na hili nalo mkalitizame kwa ukaribu
Kusema mtu ana uwezo mdogo ni kukosa heshima? What a crap! Wewe unaona rais kulumbana na watu kuhusu idadi ya watu wanaohudhuria mkutano ndiyo heshima? Ni lazima ujue rais anatakiwa kushughulikia mambo makubwa na ya msingi na siyo kupigana vijembe na raia wake. Tanzania ina watu wazima zaidi ya milioni 40, unataka kila mtu awaze namna moja? Ukiwa rais ni lazima ujue kuweka hisia binafsi pembeni.Rais wa nchi anao Uwezo Mkubwa.
Ndiye mtanzania anayepokea taarifa nyingi zihusuyo nchi hii kuliko mwingine; Lakini pia na yeye ni binadamu, anazo hisia.
Tuwe na heshima na sio kutoa kejeli hizi.
Kwa haya aliyondika ni lazima atakuwa ni mtu mwenye uwezo mkubwa. Lakini wenye uwezo mdogo hawawezi kumuelewa.Wewe una uwezo mkubwa?
Yes, ni tofauti, maana muda wake uko limited! magufuli alitufundisha kuwa erais siyo mwenzetu... atrocities he committed wewe unaweza kuzifanya?vitu fulani tofauti na binadamu wa kawaida.