Mkuu, umekula maharagwe ya "Gwajima"
ni kweli kabisa mkuu. ni hatari kwa mwalimu kama huyu kuwafundisha watoto wa form 1 maana watakariri makosa haya na kwenda nayo hadi chuo kikuu. ndio maana kuna baadhi wasomi wa chuo kikuu humu wanaotetea uchapiaji wa kikanyaboya kama huu ama kwa kujua au kutokujua. ikifikia msomi wa chuo kikuu anafanya obvious BLUNDER kama hii halafu anatetewa na wasomi wenzake ujue kwamba kuna tatizo kubwa katika elimu yetu kwa ujumla.
nilikuuliza swali kuhusu hiki kiingereza ulichotumia hapa.... naona umechumpa ..na unachagua ya kujibu sio... au na haya ya "kufanya OBVIOUS BLUNDER" uliyasikia kwa mwalimu wa shule ya kata... BADO NAHITAJI MAJIBU NDUGU... MAANA HIYO SENTENSI HAPOOO.. USINIKWEPE JAMAA
Ujinga kwa Mwaafrika ni ndani ya genes.
Hauna dawa.
kwani wewe unaona nimekosea wapi? nisahihishe basi. hayo maneno "OBVIOUS BLUNDER" sijayasikia kwa mwalimu bali ni maneno yangu niliyoyatumia katika moja ya majibu yangu wakati natetea hoja hii. kwani na yenyewe unaona hayakaa sawa kisarufi au vipi mkuu? je, unataka nikueleweshi nini kuhusiana na maneno haya?
Hivi ni kweli haya ni MAAJABU???
Leo nimetembelea shule moja ya Kata nikashuhudia kituko cha mwaka kutoka kwa mwalimu mmoja shuleni hapo.
Mwalimu huyo amehitimu Chuo Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) hivi karibuni na akaajiriwa moja kwa moja kufundisha katika shule hiyo ya Kata. Wakati akiendelea kufundisha nilimsikia akiwauliza wanafunzi swali hili: WHERE DOES IT LOCATED? Inaonekana ni mwalimu wa somo la Jiographia, hivyo alikuwa akiwauliza wanafunzi wake wamtajie location ya kitu fulani kwenye ramani.
Jamani, hapa ndipo shule za kata zilipotufikisha. Ikiwa mhitimu wa Chuo Kikuu anaongea kiingereza kibovu kama hiki, tena mbele ya wanafunzi,mnategemea wanafunzi anaowafundisha watapata maarifa gani kutoka kwake? Chukulia huyu ni mwalimu wa Kidato Cha Kwanza, wanafunzi wake wanaoambiwa kila siku "SPEAK ENGLISH" wataiga kiingereza gani kutoka kwake? Si ndio atawapoteza kabisa?
Ikiwa walimu hawajui kiingereza unategemea nini kutoka kwa wanafunzi wao? Haya ndio madhara ya serikali yetu kuchanganya elimu na siasa. Tumekwisha hasa!!
:israel:

weka kilivyotakiwa!
Mkuu kwani alitakiwa asemeje hapo?