Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,548
Kuwa mwalimu haimaanishi kuwa hutofanya mistake wakati wa kuelezea kitu, walimu wa Uganda wenyewe wameaibika kwa kufeli kwa kiasi kikubwa mtihani waliopewa na baraza la mitihani la nchi hiyo.