Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Sikia maajabu haya ya Mwalimu wa shule ya Kata

Ujinga kwa Mwaafrika ni ndani ya genes.

Hauna dawa.
 
uko sawa kaka,haujakosea ,sema where does it located? ni kosa kubwa la lugha.

afadhali umekuja mkuu MSEZA MKULU unisaidie kutoa darasa maana hizi shule za kata zimechangia sana kuua elimu yetu kwa makusudi.
 
Last edited by a moderator:
Kukosoa ni kudhalilisha?
Kwa mwalimu tena mhitimu wa chuo kikuu haikubaliki
Ukitetea kuchapia huku hata akisema Kibaha ipo Tanga utamtetea
Kumbuka anayefundishwa ataamini hivyo
Mwalimu anatakiwa afundishe kilicho sahihi
Tuache kuchakachua na kuungaunga mambo

Hapo umenena haswa na hii lugha ni ngeni hata mimi nilishangaa kusikia I BEG YOUR PARDON likitumika kwa maana tatu tofauti
 
Niliwahi kumsikia mwingine akifundisha F2 geography akasema hivi: the earth rotate in its own axis. It go, it go, it stops. Wakati anasema hivyo na yeye anajizungusha.

Dah! Nimecheka sana. Asante.
 
Kukosoa ni kudhalilisha?
Kwa mwalimu tena mhitimu wa chuo kikuu haikubaliki
Ukitetea kuchapia huku hata akisema Kibaha ipo Tanga utamtetea
Kumbuka anayefundishwa ataamini hivyo
Mwalimu anatakiwa afundishe kilicho sahihi
Tuache kuchakachua na kuungaunga mambo

ni kweli kabisa mkuu. ni hatari kwa mwalimu kama huyu kuwafundisha watoto wa form 1 maana watakariri makosa haya na kwenda nayo hadi chuo kikuu. ndio maana kuna baadhi wasomi wa chuo kikuu humu wanaotetea uchapiaji wa kikanyaboya kama huu ama kwa kujua au kutokujua. ikifikia msomi wa chuo kikuu anafanya obvious BLUNDER kama hii halafu anatetewa na wasomi wenzake ujue kwamba kuna tatizo kubwa katika elimu yetu kwa ujumla.
 
afadhali umekuja mkuu MSEZA MKULU unisaidie kutoa darasa maana hizi shule za kata zimechangia sana kuua elimu yetu kwa makusudi.
Nakumbuka kipindi kile me naanza Form ONE- Wazazi wangu walininunulia Dictionary ya OXFORD pamoja na kitabu cha "Common mistakes in English" lakini wazazi wa siku hizi wanafurahia tu watoto wao kufauru Darasa la Saba lakini wanashindwa kuwanunulia Zana muhimu Za Lugha ya kigeni.
 
umesema vizuri sana mkuu. wazazi wa siku wamekazana kuwanunulia watoto wao misimu mikubwamikubwa na kuwaunganisha wasapu, instagramu na fesibuku ili wakachati...mwisho wake watoto huambukizwa magonjwa na mimba na mapedejee na mashugadadi. kufa kwa elimu yetu ni equation yenye variables nyingi sana...kuanzia kwa serikali, wazazi, jamii, wawekezaji uchwara, nk.
 
TANO: wewe unaona alichokitamka msomi huyu wa chuo kikuu mwenye digrii ya daraja la kwanza ni sahihi? sio hatari kwa msomi kama huyu kuwafundisha wanafunzi wake kingereza kibovu?

SITA: tusiangalie tulipoangukia bali tuzingatie pale tulipojikwalia. mfumo wa elimu yetu ulivurugwa tangu utawala wa Nyerere na waliomfuatia wamezidi kuididimiza zaidi elimu yetu. hapa ndipo tunapaswa kuanzia kutatulia ubovu wa elimu hii mbovu tunayoirithisha kwa vizazi vyetu.

cc: FaizaFoxy

Mkuu unamaanisha nini unaposema "mfumo wa elimu ulivurugwa tangu utawala wa Nyerere"?
 
Last edited by a moderator:
Mtoa uzi bila shaka una elimu ya Middle School, maana wao ndo waliaminishwa na wazungu kuwa elimu ni kuongea kiingereza tu baasi. Elimu ni ujuzi na maarifa haijalishi unaupata kwa kichaga, kisukuma au kimakonde. Nimefundishwa na Episcope From Japan, hajui kiingereza wala kiswahli. Mainjinia Wa Kijerumani Na Kichina Wana Maarifa makubwa lakin kiingereza si muhimu kwao. Mtoa Uzi Rudi Darasani.
 
Inawezekana haya kwako yakawa maajabu, kwa sabab we ulisoma English medium school? ila kwa shule zetu hiyo ni kawaida xana hapo kaongea na wanafunzi wameelewa
 
english language is not ours, its theirs . mkuu nirekebishe na mimi maana leo nimemkumbuka mwl. wa possessive pronoun wakati nikiwa form one.
 
umeona eeh? hata mimi nawashangaa watu wanaotetea uzembe kama huu bila kuangalia athari yake kwa jamii.

Unafikiri nini kifanyike, kunusuru Taifa na janga hili?
 
ni kweli kabisa mkuu. ni hatari kwa mwalimu kama huyu kuwafundisha watoto wa form 1 maana watakariri makosa haya na kwenda nayo hadi chuo kikuu. ndio maana kuna baadhi wasomi wa chuo kikuu humu wanaotetea uchapiaji wa kikanyaboya kama huu ama kwa kujua au kutokujua. ikifikia msomi wa chuo kikuu anafanya obvious BLUNDER kama hii halafu anatetewa na wasomi wenzake ujue kwamba kuna tatizo kubwa katika elimu yetu kwa ujumla.

mimi naomba unifahamishe hapo kwenye hayo maneno uliyotumia hapo ..kiingereza chako kizito mno sijakielewa mkuu... "ikifikia msomi wa chuo kikuu anafanya obvious BLUNDER" ..HAPO KWENYE ""OBVIOUS BLUNDER"" NDIO NINI HAPO!!!??... Naomba jawabu tafadhali..
 
Ndugu zangu watanzania hata mjitetee vp Tz Tupo nyuma kimaendeleo na tunarudishwa nyuma kwa sera hii mpya kwa kitendo cha kutojua kiingereza no more no less atakayepinga ampeleke mwanae hzo za kata majibu atayapata ukubwani.Nenda Muhimbili niambie ni kifaa kipi kinachotoa maelekezo kwa kiswahili. Katika darasa la mwalimu kama huyo daktari atatoka wapi? Mtihani wa mwisho atatahiniwa kwa kiingereza atajibuje? Tunategemea tumpate rubani kwakuwa ndege za kiswahili zinakuja au ungo? Wajerumani na wachina sawa hawajui kiingereza but wajerumani wanakihitaji kiingereza kwa faida ipi? Hivi mzungu anapojifunza kiswahili ni ili kimsaidie nini maishani?Waajiri wakubwa nchini ni wageni na wanachotaka ni mtu anaeweza kuzungumza lugha kwa ufasaha za kigeni sasa kaa na kiswahili chako cha kuloga usijifunze kiingereza kama hutaishia kuua tu albino.
 
mimi naomba unifahamishe hapo kwenye hayo maneno uliyotumia hapo ..kiingereza chako kizito mno sijakielewa mkuu... "ikifikia msomi wa chuo kikuu anafanya obvious BLUNDER" ..HAPO KWENYE ""OBVIOUS BLUNDER"" NDIO NINI HAPO!!!??... Naomba jawabu tafadhali..

Teheheheheh, "my milk is standing'"
 
Unafikiri nini kifanyike, kunusuru Taifa na janga hili?

cha kufanya ni kuufumua mfumo mzima wa utawala na kuweka utawala mpya ifikapo Oktoba kwa kuwa wao ndio waliotufikisha hapa. wamedunisha elimu yetu kwa makusudi kwa kuwa watoto wao wanasoma ulaya na marekani wakati watoto wa wakulima wanarudikwa kama ng'ombe kwenye shule za kata zinazotoa elimu duni kwa watoto wetu. jiandikisheni kwa wingi na mjitokeze kupiga kura ili tuufutilie mbali utawala huu wa kishetani kutoka ardhi ya Tanzania.
 
Back
Top Bottom