OLD KOROGWE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 556
- 207
Mpeni za uso mpaka aombe 'po'
isome hiyo sentensi yako mara mbilimbili..then jaribu kuuliza watu wawili watatu then naomba kesho uje unipe majibu kama hiyo sentensi iko sawa...
i can assure you..bora hata huyo mwalimu uliyemuanzishia thread ya kejeli humu..
TUNATOA BORITI KWA WENZETU...
Wakifundisha kiswahili wanaonekana kama wanaongea kichina, kiingereza ndio kabisa, mi naona saivi tuanze kutumia kila sehemu na kilugha chake labda haya ya maajabu ya mleta mada yatakwisha. Kuna vitu vya kushangaa na kuwa maajabu sio hiki. mleta mada HUNA AKILI. Unaacha kushangaa kwanini Serikali ya SISIHEMU imeleta ugumu wa maisha we unashangaa yasiyokuhusu. SHENZI KABISA.
Upuuzi mtupu, kwani yeye alikuwa anasoma kingereza UDSM? Hata hicho kiswahili chenyewe huwa tunakosea...! grammar ni tatizo dogo katika lugha, hasa kwa lugha ngeni. Acha porojo....! Wewe ukikutana na native english speaker utaonekana unaongea utoko pia. Just different level of fluency (usinikosoe na mimi, mwenzio nimejitahidi hapo).
nikisema ; ( I m comming tommorrow ) nitakuwa nimekosea ? ninyi ndo mlofundishwa kuwa kuna three types of tenses
Sijawahi ona uzi dhaifu kama huu tangu nijiunge JF zaidi ya miaka 6 iliyopita, hivi uwezo wa kutafakari mambo umekuwa chini kiasi hiki? yani mtu kukosea sentensi fupi kama hiyo inakuwa mada? How could you draw conclusion about UDSM graduates kwa hiyo small grammatical error? Hapo mtu kakosea lugha ngeni, je akikosea kiswahili si itakuwa breaking news? Hili nalo janga
Niliwahi kumsikia mwingine akifundisha F2 geography akasema hivi: the earth rotate in its own axis. It go, it go, it stops. Wakati anasema hivyo na yeye anajizungusha.
nikisema ; ( I m comming tommorrow ) nitakuwa nimekosea ? ninyi ndo mlofundishwa kuwa kuna three types of tenses
Huyo mwalim amekosea sana 'where it is located? ndo sahihi sisi tuliosoma HE hutudanganyi kwenye tenses. Kosa lake hapo hapo ni kuchomeka 'does.... afu akamalizia ...located'.
...is located..(right)
eg. Mbeya region is located in Southern Tanzania.
...does located...(wrong)
...does locate...(right)
eg. the compass does locate north.
Kebehi kwenye lugha sidhani kama ni sahihi, uelewa wa mada husika ni jambo la msingi..... je alichofundisha aliwalisha watoto matango mwitu? Kama hapana ama ndio tuanzie hapo sasa kutafuta suluhisho.
Mara nyingi ktk ufundishaji inafika mahala unabadilika na kuwa kama wao ili wakuelewe...ni mfano mdogo, MTOTO MDOGO UKITAKA KUMPA MAJI YA KUNYWA UNAMUITA....KISHA UNAMBEMELEZA ANYWE "MMA" pale kinachoangaliwa si usahihi wa lugha bali uelewaji na urahisi wa kufikisha ujumbe kwa hadhira
Usihukumu watu kirahisi hivyo kwani wapo wanaojua kiingereza lakini hawajui geography wala mathematics, speaking good English doesn't mean you know everything, and speaking poor English doesn't mean that you know nothing