Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Nitakununulia tiketi ya kwenda na kurudi DAR to ZNZ same day nipe infos zako.
 
Desires are endless by nature, you fulfill one and then you'll discover another one and wish to fulfill that too. Let's learn to practice contentment and we'll rid ourselves of unnecessary troubles.
 
Siforce ila nimeeleza matamanio yangu bila kuweka wazi itatokeaje
Mbona sio ngumu kupanda ndege ukiamua?
Fanya booking ya muda mrefu utapata bei rahisi sana tu.

Au panda kuelekea Dar- Zanziba bei ni 90-120k
 
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Wazee wa kimasihara wasiione hii
 
Usiforce mambo mkuu muda wako ukifika utapanda tu.
Bheka hapo ni mitaa ya Somalia.
20250408_103251.jpg
 
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Mpandie hata kuku utakuwa umepanda ndege
 
Haina maajabu yeyote ni kwamba unasafiri Ukiwa huko Juu angani unaweza kamata Hadi kunguru 😆😆
 
Mbona sio ngumu kupanda ndege ukiamua?
Fanya booking ya muda mrefu utapata bei rahisi sana tu.

Au panda kuelekea Dar- Zanziba bei ni 90-120k
Mbona nilijaribu kufanya booking ya muda mrefu Dar-Mwanza bado bei zilikua zile zile
 
Jaribu Dar-Klm
Dar-Iringa
Utapata ya 250k...hii ni Go$Return
Hii nina uhakika nayo.
Note: ukiwa na connection na mhudumu wa ofisi zao utapata kwa gharama ndogo sana.

Hii ni kwasababu bei hubadilika ndani ya dakika chache, mhudumu akiwa online all the time atakupatia ta bei nafuu sana

Hii wengi hawaijui.
 
Did you know that 95% of the world's population has never been on a flight? That means 7,410,000,000 people have never boarded an aircraft!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom