Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 165,751
- 184,597
Mimi similiki ndege labda nitampa lifti...
Mimi similiki ndege labda nitampa lifti...
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Sasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,Jaribu Dar-Klm
Dar-Iringa
Utapata ya 250k...hii ni Go$Return
Hii nina uhakika nayo.
Note: ukiwa na connection na mhudumu wa ofisi zao utapata kwa gharama ndogo sana.
Hii ni kwasababu bei hubadilika ndani ya dakika chache, mhudumu akiwa online all the time atakupatia ta bei nafuu sana
Hii wengi hawaijui.
Unamaanisha sie wa darasa la 7 haturuhusiwi kupandishwa ndege?...Mimi ni Mwanamke, elimu darasa la 7 ndio maana natamani kupata marafiki wenye upeo mkubwa kunizidi ili nijifunze mengi,...
![]()
Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo
Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...www.jamiiforums.com
Mkuu pale Hamad international airport doha, ukienda kushangaa hiyo connection ya Jakarta itabaki Lindi maana uwanja ni mkubwa mno na mara nyingi muda wa connection ni mfinyu, so wakati unashangaa supermarkets na bustani za mle ndani huku bado hujapata gate number na ndo kwanza ukiipata unakutana na A1-80 wakati geti lako ni C80 hapo utaelewa.Me mwaka Mungu akipenda terminal 3-doha-jakarta kwa mara ya Kwanza na mimi ndo kbs sina hamu na vindege vyenu vidogo vidogo
Umkatie tu tiketi azunguke zunguke angani afu basiMimi similiki ndege labda nitampa lifti...
Nakupongeza kwa kufika darasa la saba. Mwenzako nilishindwa kufika darasa la nne. Niliishia darasa la pili. Una miaka mingapi?Unamaanisha sie wa darasa la 7 haturuhusiwi kupandishwa ndege?
Vijana hawajakuelewa! Sema umri wako nikusaidieSasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,
Ila nashukuru naimani wadau wataona ili wanikatie tiketi
Aisee hata naelewa basi kaka maana ndo kwanza namilili passport mwaka huu yaani me huwa napita Tu nauona jk Nyerere kwa mbali nikiwa ndani ya daladala sielew kitu nasikia tu Doha Qatar ila ukubwa wake siwez Ku imagineMkuu pale Hamad international airport doha, ukienda kushangaa hiyo connection ya Jakarta itabaki Lindi maana uwanja ni mkubwa mno na mara nyingi muda wa connection ni mfinyu, so wakati unashangaa supermarkets na bustani za mle ndani huku bado hujapata gate number na ndo kwanza ukiipata unakutana na A1-80 wakati geti lako ni C80 hapo utaelewa.
Kama jamaa mmoja alivyomkatia ticket first class mke rafiki yake baada ya kumgonga, baada ya mke kupost tu kwamba anatamani kupanda ndege...Umkatie tu tiketi azunguke zunguke angani afu basi
Shida yako ni mdau apatikane?Sasa ndugu yangu sijawahi kupanda ndege hiyo connection na muhudumu naitoa wapi mie,
Ila nashukuru naimani wadau wataona ili wanikatie tiketi
Siyo ndege anayotaka. Anataka.... Vijana hawamwelewiUmkatie tu tiketi azunguke zunguke angani afu basi
Amesema yeye ni mwanamke. Hujajua alicho nacho cha kuoffer? UnaniangushaShida yako ni mdau apatikane?
Vipi na una cha ku offer kwa mdau?
Usiogope kuwa huru
Ndege/Ndogo watu wana code sanaSiyo ndege anayotaka. Anataka.... Vijana hawamwelewi
Mabro wako wachangamke sasaNdege/Ndogo watu wana code sana
Kabisa, mie pia natakaEvelyn Salt unataka kupanda ndege...
Nataka akiri kwa kinywa chakeAmesema yeye ni mwanamke. Hujajua alicho nacho cha kuoffer? Unaniangusha