Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Sijawahi kupanda Ndege, nisaidieni

Andaa shamba lako vizuri tafuta mbolea espeshali ya minjingu ndo nzuri, then tafuta mbegu bora ya ndege afu tegea nyakati za mvua kama hutakia kumwagilia
 
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Njoo PM ukiwa tayari siku yoyote nitakutumia tiketi ya ndege go and return karibu Mwanza.
If your seriously
 
Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,

Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,

Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.
Hamna jipya kwenye ndege. Ni usafiri wa haraka tu..mengine kama VVIP buses ti
 
Aisee hata naelewa basi kaka maana ndo kwanza namilili passport mwaka huu yaani me huwa napita Tu nauona jk Nyerere kwa mbali nikiwa ndani ya daladala sielew kitu nasikia tu Doha Qatar ila ukubwa wake siwez Ku imagine
Ni kama shamba la heka elfu 6000 hivi, sema utakuta wakenya wengi ndio walinzi hapo unaweza kuwauliza ila siku ukifika utanikumbuka nilichokwambia.
 
Shida yako ni mdau apatikane?
Vipi na una cha ku offer kwa mdau?
Usiogope kuwa huru
Uzi wangu umejieleza vizuri kua nahitaji kusaidiwa kupanda ndege kwa wenye kuguswa watasaidia kama huwezi msaidia mtu hadi atoe chochote kitu basi jua kuna kosa kubwa sana limefanyika katika malezi yako
 
Vipi utakubali kuja uku Iran?? Nipo mpweke Sana sema Anga ni kama ndege Zinavizia vile zikikosea Anga kuna wajuba wanazishusha na Vinu vya maana
 
Uzi wangu umejieleza vizuri kua nahitaji kusaidiwa kupanda ndege kwa wenye kuguswa watasaidia kama huwezi msaidia mtu hadi atoe chochote kitu basi jua kuna kosa kubwa sana limefanyika katika malezi yako
Kupanda ndege sio mahitaji muhimu ya binadamu, zaidi ni anasa/luxury kama sio dharura, ugonjwa au vitu kama hivyo.

Vitu muhimu vya kumsaidia mtu ni Chakula, mavazi, malazi au ugonjwa, hapo ndio utu wa mtu buonekana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom