Mwambie ukweli hakuna mwanaume anayetoa hela bure wewe,Kama ni matatizo yako panda ndege kwa pesa zako, usihitaji msaada wa wana JF.
(Natania tu mtoto mzuri).
kutoa ni moyo.Utatoa lkn
Nye mnafanya jamii forum watu waikimbie. Unpofungua uzi na kukutana na vitu kama hivi vinakatisha tamaa.Una tako?
Hakuna kitu kama hiko, gademiiitWapo labda useme hakuna maskini anayetoa hela bila kudai malipo
Hakuna cha bure kwa Dunia.Nikuambie ukweli hakuna mwanaume atakaye kugharamikia kwa chochote kusiwe na return labda baba yako mzazi, hata naye utamlipa fadhila za kukutunza,
Umesema unaweza ku afford bus, dunduliza gharama ya usafiri wa ndege japo nauli hubadilika, hata wakati wa kurudi utatumia bus au treni,
Utaishia kuliwa na wengine wakubamize kama DIVISHENI FOO alivyo bamizwa na secretarybird
Kiben 10 una shida wewe, sasa mwenzako hayo yote kayapita. Anatafuta raha sasa hivi 😅😅😅😅 hebu kale kwanza ushibe, ndiyo urudi.Wenzako tunapitapita humu kuomba japo buku mbili ya kununua wali maharagwe we unakuja kuomba msaada wa kukwea pipa tena kwa ajili ya pleasure?
Fikiria maisha ya wengine pia.
Cc Bantu Lady
Ni sawa lakini kwa mitazamo hasi ya wanaume wa sasa wanataka return kama uivyosoma hukoNimewaomba wadau mbalimbali wa maendeleo wanisaidie kufikia lengo langu, hao wataonitaka nikalale nao sina makubaliano nao kwa hiyo ni BIG NO, ukiwa muungwana utatoa msaada bila kuhitaji malipo ukiwa baradhuli ndio kama hivyo
Hahaha 😂, hapo sawa.Kiben 10 una shida wewe, sasa mwenzako hayo yote kayapita. Anatafuta raha sasa hivi 😅😅😅😅 hebu kale kwanza ushibe, ndiyo urudi.
Tafadhali njoo Pm binti yangu .Habari za muda huu watanzania,
Mimi ni mwanamke tena mtanzania mwenzenu naishi Dar es salaam, lakini katika maisha yangu sijawahi kutumia usafiri wa ndege, natamani sana na mimi siku moja nifika pale uwanja wa ndege nihudumiwe kisha nikapande ndege, natamani nikijiona nimo ndani ya ndege naangalia uso wa dunia yetu kupitia dirishani, naingia ndani ya mawingu kwa kweli litakua tukio kubwa sana la kihistoria kuwahi kutokea katika maisha yangu,
Sina uwezo wa kupanda ndege kwenda popote pale, uwezo wangu ni bus, treni ama boti,
Humu jamii forum kuna wadau mbalimbali wa kimaendeleo, kuna wafanyabiashara, Wafanyakazi, Wanasiasa kwa umoja wenu nawaomba kwa unyenyekevu mnisaidie nipande ndege, sitajali nitakua naenda wapi kikubwa ni mie kupanda ndege walau nitoe hii kiu yangu,
Ahsanteni sana na Mungu awabariki sana.